Kusoma MIPANGO na UONGOZI ipi ina nafasi nzuri kwa ajira!

Barnaba pro

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
210
Reaction score
13
Me naombeni ushauri kwa wanaofahamu mambo ya mipango na uongozi ipi nzuri kusoma chuo kwa ajira ya uhakika?
 
Kirikuu10

Kwann?

Ajira za mipango hazipo! Kuna kijana alikimbilia kusoma regional planning, ameishia kuajiriwa kama mtendaji Wa Kata! Ila hiyo itamsaidia kwa baadaye maana ikitokea nafasi kwenye mipango lazima wamfikrie kwanza!
 
Sasa unasema hazipo halafu unasema zikitokea nafasi kwenye mipango ni nafasi gani hizo??
 
Back
Top Bottom