Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
Ajira ipi unayo manisha, Ajira ya kuajiriwa au kujiajiri?
Kirikuu10
Kwann?
Ajira za mipango hazipo! Kuna kijana alikimbilia kusoma regional planning, ameishia kuajiriwa kama mtendaji Wa Kata! Ila hiyo itamsaidia kwa baadaye maana ikitokea nafasi kwenye mipango lazima wamfikrie kwanza!