FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
That's the spirit.Inshaalah Phd yangu nakuja kuichukulia ulaya au Marekani kibabe kabisa.... Miaka 6 ijayo narudi bongo na Phd kali kabisa ya uchumi.....
Inyeshe mvua liwake jua.. lazima nipate gamba la mbele...
Peleka TCU wao wanajua namna ya kulingan8shaSasa kama mtu kasoma degree nje, atawezaje linganisha na elimu ya degree ya ndani ambayo hajaisoma?
Mkuu unapataje zile TOEFL na IOLETS??Mi niliangukiwa na zali tu yaani mtu aliyekuwepo huko akaniunganisha na shirika fulani (lilishakufa) nikapata full ya miaka mitano na option ya kuongeza mmoja. Full kwa maana ya full mpaka nyumba, chakula na monthly stipend unalipiwa...
International students nadhani walikuwa wanalipa kama $39K kwa mwaka. Na hapo bado mambo mengine. Mtoto wa mkulima wa dengu kutoka Misungwi mi ningeweza wapi?
Kwa scholarships za US Google EBM Scholars utapata mwanga kidogo
Hope jion ntakua na wasaa mzur wa kumuelezea...Ndugu Nelson ilikuwaje mkuu?
Naomba funguka japo kidogo tu tupate muktadha na maudhui vizuri.
Aisee nashukuru, nataka nikasome kule huku napiga vibarua, hasa ulayaMi niliangukiwa na zali tu yaani mtu aliyekuwepo huko akaniunganisha na shirika fulani (lilishakufa) nikapata full ya miaka mitano na option ya kuongeza mmoja. Full kwa maana ya full mpaka nyumba, chakula na monthly stipend unalipiwa...
International students nadhani walikuwa wanalipa kama $39K kwa mwaka. Na hapo bado mambo mengine. Mtoto wa mkulima wa dengu kutoka Misungwi mi ningeweza wapi?
Kwa scholarships za US Google EBM Scholars utapata mwanga kidogo
Kwa mtu aliyesoma degree ya kwanza SAUT then masters Mzumbe evening class.Ndiyo.
Kuna faida nyingi sana. Exposure. Kuiona dunia ilivyo na jinsi wenzetu walikofikia. Pia unaona elimu ya wenzetu ilivyo mpaka unatambua kuwa hawajaendelea kwa kubahatisha bali wamewekeza sana kwenye elimu. Na ualimu ni taaluma inayoheshimika sana kiasi kwamba siku Mpwayungu Village akienda kule itabidi atubu na kuwaomba msamaha walimu wote.
Ni vizuri zaidi ukipata full scholarship wewe kazi yako inabaki kupiga kitabu tu na ukiamua kufanya kazi basi iwe ni kwa hiari yako kwa ajili ya kupata vijisenti vya ziada.
Kama una mpango wa kurudi home baada ya masomo pengine siyo wazo zuri kuchukua mkopo maana hata ukirudi na degree yako nzuri nobody cares huku nyumbani labda ubahatishe kwenye international NGOs/organizations ambako malipo kidogo ni nafuu. Vinginevyo itakubidi uwe na connection nzuri bila ya hapo utakutana na vizee vya vitengo huko vimekakawana vitakufanyia figisu na hata kukurestisha ini pisi ukizubaa.
Na ukiwa mtundu unaweza kuja na wazo zuri la kujiajiri japo itakulazimu ujiandae kwa vipingamizi na ukiritimba utakaokutana nao. Ni vyema ukienda kusoma mambo ya afya, kompyuta, uhandisi, uchumi, sheria na mambo yanayohusiana na finances.
Oooh...na mademu wa kizungu unawachakaza unavyotaka na kulipiza kisasi japo kidogo kwa waliyofanyiwa mababu zetu akina Kijenketile Ngwale, Mkwawa na Mangungo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Elimu, elimu, elimu....hakuna siri nyingine ya maendeleo ya kweli!
View attachment 2471248
Una utani na watu.....Kwa mtu aliyesoma degree ya kwanza SAUT then masters Mzumbe evening class.
Huyu exposure yake si inatia huruma sana.
Uko sahihi kabisa!Sijasoma nje ila watu wote niliokutana nao waliosoma nje huwa wanakuwa na kitu cha ziada ambacho naona kabisa tofauti kifikra, mtazamo na utendaji,
Miaka miwili sasa baada ya kumaliza degree yangu, nafanya kazi nipate experience ndogo ya kujaza CV niombe scholarship Ulaya au USA, waliosoma Asia huwa hawafanani na waliosoma hizi sehemu mbili kwa utafiti wangu mdogo niliofanya.
Naomba hints kdg
Duuuh hongera sana mkuuMimi naamini nilifelishwa na system ya elimu ya bongo japo nilikuwa napenda sana elimu hasa sayansi..
Baada ya hapo nikachukia elimu na nikaichukia nchi pia...
Nikaanza mchakato wa kuondoka bongo kabisa, miaka ile ndio makampuni ya mining yanaanza kuingia bongo, Nikaenda maporini huko Kahama, na kufanikiwa kupata kazi ya kutumia nguvu, bahati ilikuwa inalipa vizuri.
Nikajichanga na kupata nauli yangu ambayo lengo lilikuwa ni ya kutoka nje ya bongo, iwe nchi yoyote ya hata kama ni ulaya choka mbovu lakini lengo langu ni kufika kwa Bi Mkubwa....
Nikapata bahati ya viza ya Spain, nikatumbukia na kupotelea ndani, nikapita border kwa border mpaka Holland,
Napo sikukaa sana nikaweza kumlipa mtu akanifikisha kwa Bi Mkubwa.
Maisha yakaanza hapo, nikiwa mbeba box, nikapiga box kama miaka kadhaa, nikachoka, nikasema hapana, mimi nina uwezo wa kiakili nikiamua kusoma.
Safari ikaanza, nikajiunga foudation year ya college ya Electrical/Electronic engineering kwa mapenzi yangu ya elimu ya sayansi ili niweze kuingia University, nikapasua kwa Distinction...
Nikaanza chuo , sikusimama nikapitiliza mpaka Masters.
Sasa huwa najiuliza, ningebaki bongo, maana yake hatima ndio ingekuwa imeishia hapo....
Hapa ndio nikajua tofauti ya elimu ya tia maji na elimu za wenzetu hasa nchi za Ulaya.
Huku mtu akiamua kusoma, unasoma chochote unachotaka kama una uwezo wa kiakili kukimudu, hakuna mambo ya sijui, wewe ulisomea huu mchepuo kwahiyo hii kozi unayotaka huwezi kusoma, ni ujinga mtupu wa elimu ya kibongo.
Ninapofanya kazi, kuna mmoja ambaye ni kati ya executives, amesoma digrii ya Finance, Master ya Engineering Management, na sasa ana Phd ya Medical Physics........
Changamoto sanaNani ambaye atakusikiliza? Sisi mpaka tuliandika proposal kabisa na kuipeleka kwa wahusika kuhusu jinsi tunavyoweza kuboresha elimu ya msingi na Sekondari kwa case studies ambazo tuliziona kule zikifanyika laivu na kufanikiwa sana. We never heard anything back. Nobody gives a damn na kila waziri anayekuja anakuja na mawazo yake anavuruga. Anakuja mwingine naye anavuruga. Hakuna lengo-mama la elimu yetu na kuona kama inaendana na dunia inakoenda miaka mitano-ishirini ijayo!
Waliosoma Asia hawafanani na wapi mkuu?Sijasoma nje ila watu wote niliokutana nao waliosoma nje huwa wanakuwa na kitu cha ziada ambacho naona kabisa tofauti kifikra, mtazamo na utendaji,
Miaka miwili sasa baada ya kumaliza degree yangu, nafanya kazi nipate experience ndogo ya kujaza CV niombe scholarship Ulaya au USA, waliosoma Asia huwa hawafanani na waliosoma hizi sehemu mbili kwa utafiti wangu mdogo niliofanya.
Naomba hints kdg
Ulaya na USAWaliosoma Asia hawafanani na wapi mkuu?
Madini sanaaaMimi naamini nilifelishwa na system ya elimu ya bongo japo nilikuwa napenda sana elimu hasa sayansi..
Baada ya hapo nikachukia elimu na nikaichukia nchi pia...
Nikaanza mchakato wa kuondoka bongo kabisa, miaka ile ndio makampuni ya mining yanaanza kuingia bongo, Nikaenda maporini huko Kahama, na kufanikiwa kupata kazi ya kutumia nguvu, bahati ilikuwa inalipa vizuri.
Nikajichanga na kupata nauli yangu ambayo lengo lilikuwa ni ya kutoka nje ya bongo, iwe nchi yoyote ya hata kama ni ulaya choka mbovu lakini lengo langu ni kufika kwa Bi Mkubwa....
Nikapata bahati ya viza ya Spain, nikatumbukia na kupotelea ndani, nikapita border kwa border mpaka Holland,
Napo sikukaa sana nikaweza kumlipa mtu akanifikisha kwa Bi Mkubwa.
Maisha yakaanza hapo, nikiwa mbeba box, nikapiga box kama miaka kadhaa, nikachoka, nikasema hapana, mimi nina uwezo wa kiakili nikiamua kusoma.
Safari ikaanza, nikajiunga foudation year ya college ya Electrical/Electronic engineering kwa mapenzi yangu ya elimu ya sayansi ili niweze kuingia University, nikapasua kwa Distinction...
Nikaanza chuo , sikusimama nikapitiliza mpaka Masters.
Sasa huwa najiuliza, ningebaki bongo, maana yake hatima ndio ingekuwa imeishia hapo....
Hapa ndio nikajua tofauti ya elimu ya tia maji na elimu za wenzetu hasa nchi za Ulaya.
Huku mtu akiamua kusoma, unasoma chochote unachotaka kama una uwezo wa kiakili kukimudu, hakuna mambo ya sijui, wewe ulisomea huu mchepuo kwahiyo hii kozi unayotaka huwezi kusoma, ni ujinga mtupu wa elimu ya kibongo.
Ninapofanya kazi, kuna mmoja ambaye ni kati ya executives, amesoma digrii ya Finance, Master ya Engineering Management, na sasa ana Phd ya Medical Physics........
Kivip chief?Ulaya na USA