Ndiyo.
Kuna faida nyingi sana. Exposure. Kuiona dunia ilivyo na jinsi wenzetu walikofikia. Pia unaona elimu ya wenzetu ilivyo mpaka unatambua kuwa hawajaendelea kwa kubahatisha bali wamewekeza sana kwenye elimu. Na ualimu ni taaluma inayoheshimika sana kiasi kwamba siku
Mpwayungu Village akienda kule itabidi atubu na kuwaomba msamaha walimu wote.
Ni vizuri zaidi ukipata full scholarship wewe kazi yako inabaki kupiga kitabu tu na ukiamua kufanya kazi basi iwe ni kwa hiari yako kwa ajili ya kupata vijisenti vya ziada.
Kama una mpango wa kurudi home baada ya masomo pengine siyo wazo zuri kuchukua mkopo maana hata ukirudi na degree yako nzuri nobody cares huku nyumbani labda ubahatishe kwenye international NGOs/organizations ambako malipo kidogo ni nafuu. Vinginevyo itakubidi uwe na connection nzuri bila ya hapo utakutana na vizee vya vitengo huko vimekakawana vitakufanyia figisu na hata kukurestisha ini pisi ukizubaa.
Na ukiwa mtundu unaweza kuja na wazo zuri la kujiajiri japo itakulazimu ujiandae kwa vipingamizi na ukiritimba utakaokutana nao. Ni vyema ukienda kusoma mambo ya afya, kompyuta, uhandisi, uchumi, sheria na mambo yanayohusiana na finances.
Oooh...na mademu wa kizungu unawachakaza unavyotaka na kulipiza kisasi japo kidogo kwa waliyofanyiwa mababu zetu akina Kijenketile Ngwale, Mkwawa na Mangungo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Elimu, elimu, elimu....hakuna siri nyingine ya maendeleo ya kweli!
View attachment 2471248