Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Nimesoma undergraduate Udsm, Masters Udsm hakuna habari unazovurumisha humu labda kama una maslahi mengine ya kukaza fuvu
actually, usiposoma nje ya udsm huwezi kujua ujinga mwingi wa udsm. nimesoma undergraduate udsm, degree zingine nimesoma nje. icho chuo ni kibaya sana na hawapo kwa ajili ya kuelewesha wanafunzi ila kukaririsha na kukomoa wasipate marks.
 
Au mtu ana soma accountancy Hadi ana maliza hajui software yoyote inayotumika na wahasibu
Au mtu ana maliza dissertation Ali cremisha tu kothari huku hajui ku create software za data collection, Kuna zile za data analysis kama stata, Kuna nvivo, spss Sasa Hilo somo linakuwa halina maana na hata mhadhiri hazijui hizo.
We need to change wallah
Chuoni tunasoma ili tusipate supp , knowledge tutaikuta makazini...
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Mwenge Catholic University ( Mwecau).
Hii tabia imeshamiri sana.
 
Yes, nilikuwa nawapa moyo wadau, kwamba kumbe inawezekana kumaliza kwa wakati.
Ila siri ya kumaliza kwa wakati unaijua wewe kwa sababu kinachokwamisha ni

Research na ni kwa sababu ya usumbufu wa supervisors sasa hatuwezi jua status yako
wewe kwa nini wewe Research mambo yawe mepesi ilihali kwa wengi ni tatizo.
 
Back
Top Bottom