Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Nimesoma undergraduate Udsm, Masters Udsm hakuna habari unazovurumisha humu labda kama una maslahi mengine ya kukaza fuvu
actually, usiposoma nje ya udsm huwezi kujua ujinga mwingi wa udsm. nimesoma undergraduate udsm, degree zingine nimesoma nje. icho chuo ni kibaya sana na hawapo kwa ajili ya kuelewesha wanafunzi ila kukaririsha na kukomoa wasipate marks.
 
Chuoni tunasoma ili tusipate supp , knowledge tutaikuta makazini...
 
Mwenge Catholic University ( Mwecau).
Hii tabia imeshamiri sana.
 
Yes, nilikuwa nawapa moyo wadau, kwamba kumbe inawezekana kumaliza kwa wakati.
Ila siri ya kumaliza kwa wakati unaijua wewe kwa sababu kinachokwamisha ni

Research na ni kwa sababu ya usumbufu wa supervisors sasa hatuwezi jua status yako
wewe kwa nini wewe Research mambo yawe mepesi ilihali kwa wengi ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…