Nenda shule za private hata usipokuwa na taaluma ya ualimu wanakuajiri ufundishe. Serikalini walimu wa masomo ya sanaa wameshatosha wanafikiria kusitisha ajira kwahyo unaweza poteza pesa na muda wako bure ndugu yangu.
Gud advice!Nenda shule za private hata usipokuwa na taaluma ya ualimu wanakuajiri ufundishe. Serikalini walimu wa masomo ya sanaa wameshatosha wanafikiria kusitisha ajira kwahyo unaweza poteza pesa na muda wako bure ndugu yangu.
Mkuu kasigazi, hii kesi ya waalimu bado ni ngoma nzito sana kuicheza! yani ni sawa mziki upigwe Rnb, Bongo flavour, Hip Hop, charanga na Reggae kwa pamoja halafu unaambiwa uicheze hiyo miziki at a time!!!
Waalimu wa arts wametosha?? Kivipi?? Mijini ama wapi? Mbona kwetu huku mikoani tuna waalimu wawili tu wa sanaa wanahudumia watoto zaidi ya 400?? Huko ndiko kutosha kunakosemwa na serikali ya Jamhuri ama vipi?
Aliyefanya Research na kusema waalimu wametosha ni nani?? Hiyo research aliifanyia eneo sahihi kweli ama vipi??
Mi ningeishauri serikali kwamba, waalimu wote watakaajiriwa waambiwe mapema kwamba, ninyi mnapelekwa vijijini mwakani, no matter what! Hapo atakayekubali, atasoma! Atakayegoma, atajitafutia ajira yake!!!
Achilia mbali suala la huduma za kijamii.
Kiufupi bado sana waalimu kutosha!!
Acheni kupotosha uma, hakuna tamko rasmi la serikali linalosema mwakani hawataajili walimu wa arts, jamani hii nchi bado inauhaba mkubwa wa walimu, jaribuni kutembea kuna vijiji ata hao walimu wa arts hakuna, ukikaa dsm unaweza ukaamin hakuna tatizo
kombani yupo utumishi na walimu ni watumishi wa umma,waalimu wapo chini ya tamisemi japo wizara ya elimu ndio inatunga sera zao na wizara ya fedha ndio inayowalipa,umenipataBwana kalungi kwani Celina Kombani ni waziri wa elimu? Wizara ya elimu kila mwaka hutoa fom maalumu kwa kila chuo ili waalimu watarajiwa waweze kuchagua mikoa wanayopendekeza kupangiwa na mwaka huu wizara imetoa tena kwa sasa unachagua wilaya 3 si mikoa
Mkuu kasigazi, hii kesi ya waalimu bado ni ngoma nzito sana kuicheza! yani ni sawa mziki upigwe Rnb, Bongo flavour, Hip Hop, charanga na Reggae kwa pamoja halafu unaambiwa uicheze hiyo miziki at a time!!!
Waalimu wa arts wametosha?? Kivipi?? Mijini ama wapi? Mbona kwetu huku mikoani tuna waalimu wawili tu wa sanaa wanahudumia watoto zaidi ya 400?? Huko ndiko kutosha kunakosemwa na serikali ya Jamhuri ama vipi?
Aliyefanya Research na kusema waalimu wametosha ni nani?? Hiyo research aliifanyia eneo sahihi kweli ama vipi??
Mi ningeishauri serikali kwamba, waalimu wote watakaajiriwa waambiwe mapema kwamba, ninyi mnapelekwa vijijini mwakani, no matter what! Hapo atakayekubali, atasoma! Atakayegoma, atajitafutia ajira yake!!!
Achilia mbali suala la huduma za kijamii.
Kiufupi bado sana waalimu kutosha!!
Hapo kazi Ipo maana mpaka sasa nasikia vyuo haviruhusu kusoma postigraduare ya ed. Kama ulisoma Bach, ya kitu Kingine sera za elimu Hapa bongo zimechange, fanya mpango ukapige masters tu
Hapo kazi Ipo maana mpaka sasa nasikia vyuo
haviruhusu kusoma postigraduare ya ed. Kama
ulisoma Bach, ya kitu Kingine sera za elimu Hapa
bongo zimechange, fanya mpango ukapige masters
tu
.........sio kweli.......