TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Watu wenye Akili Za Uji wakisoma kichwa cha Habari Akili zao zinawaza ni MATAGA Huyu. Angalia Rekodi zangu kwanza. Lissu anapaka Kivyesi Siasa Za Upinzani Nchini lazima TUSEMA ili UPINZANI nchini Uendelee Kuwepo Kwa Heshima Yake.
Suala hili la USHOGA Nduguzangu sio tu Litadidimiza CHADEMA Lakini Kinyesi chake Kitarukia Vyama Vyote vya Upinzani.
Katiba Ya Nchi na Sheria Zake zote Hazijawahi Kuongelea Kwa Uwazi Msimamo wa Nchi Kwenye Suala hili Mtambuka. Mimi Namshangaa, Tena Namshangaa sana Mgombea wetu kusimama openly kusapoti USHOGA.!
Hoja anayo Tumia Tundu Lissu ni Aibu sana Kwa Mtu Niliye dhani anaijua sheria. Anasema Kwa Sababu KATIBA ya Nchi inasema Serikali Haina Mamlaka ya Kuingilia privacy Za watu tena baadae akasema Serikali Haiwezi kuingilia vyumbani mwa watu..!
Mgombea wetu Analazimisha Kwa Tafsiri Yake Hiyo kwamba sheria za Nchi Yetu zinaupa bluu light USHOGA.. nasikitika sana Hii Mbaya mno.
Nikisema ni wendawazimu ulio pita Mipaka labda mtu atasema Natukana, Au nikitumia neno MPUUZI AU UPUUZi Mwingine atasema nimetukana tena basi Itoshe mimi kusema basi wewe Tafuta neno la Kuweka KAMA Miaka 52 iliyo pita, Mzee Mungwai Antipas Angeoa mwanaume mwenzake Hivi Leo Mgombea wetu angekuwepo? That was simple logic Twende kwenye Dhima ya sheria.
Mwanasheria YEYOTE Hata Hakimu Kazi walizo somea ni *KUTAFSIRI SHERIA*, zilizo andikwa au Kutamkwa. Na Kila sheria hutungwa Kukamilisha Takwa la Mkataba kati ya watu wawili..! Unapo ongelea Biblia, Kuruani, Katiba, Ilani Zote hizi ni Mikataba kati ya pande Mbili. Na Katika Nchi ya Tanzania Zote zinatumika. Mbali na makundi Hayo Lakini pana Mikataba mingi mno Kila siku zinaundwa. Kazi ya hakimu/Wakili ni Kutafsiri HOJA zilizomo.
Na Kila mkataba una eneo lake la Kiutendaji.. HATA KAMA Kuna Kipengele Cha sheria kwenye Mojawapo ya Mikataba hiyo Inayo Ruhusu USHOGA, HUWEZI kusimama au Kuongea Mbele ya Kadamnasi yenye mseto wa sheria wanazo ziamini Ukiikuza na Kuienzi sheria Hiyo UKIJUA wazi Sheria Nyingine zinapinga SUALA HILO. Mjuzi Mzuri wa Sheria HAROPOKI.
Hoja hiyo CCM watatutandika kweli kweli! Mimi nashauri Tundu Lissu Asiwaogope sana wazungu. Mwenyezi Mungu ndiye aliye msaidia akapona, Risasi 16 sio Mchezo. Basi Ajue Kuna SIASA Baada ya Uchaguzi. Asifanye SIASA kama kwamba Nchi Inaisha Octoba. Alaani WAZIWAZI suala ya USHOGA. Ama vipi Chama kiweke msimamo wa wazi Juu ya USHOGA.
Kama ni Mawazo ya Lissu au ni msimamo wa Chama watu kuingiliana Haja Kubwa men tu men, women to women au Hayo ni Yake binafsi sio MSIMAMO WA CHAMA. Lakini kama Mawili Yasipo Fanyika Basi Vyama Vingine vya UPINZANI viliongelee Jambo hilo Kwa wazi kabisa kwamba HUO NI MTAZAMO WA CHADEMA au na wao wanaunga Mkono watu Kutoboana Nyuma. Hii ni kulinda Heshima na Hadhi ya Upinzani Baada ya Uchaguzi HUU!
Asanteni.