Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

Hoja nyingine za kipuuzi kabisa kutolewa na mtu anayeheshimika kama yeye. Eti serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo ya watu majumbani mwao....!

Kosa ni kosa hata kama linafanyika ndani, kwani kosa la kubaka linafanyika hadharani? Wizi je, ukifanyika ndani serikali haiingilii?

Tukubali tu, hapa jamaa alilopoka
 
Ushoga ni kampeni za kupunguza ongezeko la watu duniani. Hawawezi kuwaambia moja kwa moja lakini inatakiwa mtumie akili za kuzaliwa.

Mkishazaliana mkawa wengi watashindwa kuwatawala. Duniani patakua na ugomvi mwingi sana. Wenye mali watapoteza mali zao hicho ndicho wanachokihofia.

Hebu ifikirie dunia ya miaka 500 ijayo?
 
Back
Top Bottom