Kusomea coaching inawezekana?

Kusomea coaching inawezekana?

Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje?
Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu hapa vpl
Mkuu coaching courses huwa zinatolewa mfano George ambangile mchambuzi niliona hivi karibuni anapost wapo darasani na mwalimu....fuatilia post zake unaweza pata connection maana niliona ametag mwalimu anaewanoa.

Ila coaching lessons ni kufanikiwa kuwa na utambulisho tu maana ulitumia mbinu hizo hauwezi toboa, nakushauri usome kwa lengo la cheti tu utambulike, alafu ushinde sana youtube utakutana na coaching analysis za makocha wote ulaya na mifumo yote strength zake na weakness zake.

Maana simeone,Pep,Pochettino wote walikuwa wanafunzi wa Bielsa so unaweza jifunza kitu
 
Mkuu coaching courses huwa zinatolewa mfano George ambangile mchambuzi niliona hivi karibuni anapost wapo darasani na mwalimu....fuatilia post zake unaweza pata connection maana niliona ametag mwalimu anaewanoa...
Sawa.
 
Ingia YouTube kule ndiyo kila kitu. Mi mwenyewe nilijifunza Kupika sambusa kule yaani siamini
Certified mamaangu kwa YouTube skills saivi namkimbiza Brendan Rodgers hivyo nikipata leseni anakuwa kocha mkubwa
 
Back
Top Bottom