mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mkuu coaching courses huwa zinatolewa mfano George ambangile mchambuzi niliona hivi karibuni anapost wapo darasani na mwalimu....fuatilia post zake unaweza pata connection maana niliona ametag mwalimu anaewanoa.Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje?
Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu hapa vpl
Sawa.Mkuu coaching courses huwa zinatolewa mfano George ambangile mchambuzi niliona hivi karibuni anapost wapo darasani na mwalimu....fuatilia post zake unaweza pata connection maana niliona ametag mwalimu anaewanoa...
Uliemtag ndio fundiii?
Biesla yuko underrated sana.Mkuu coaching courses huwa zinatolewa mfano George ambangile mchambuzi niliona hivi karibuni anapost wapo darasani na mwalimu....fuatilia post zake unaweza pata connection maana niliona ametag mwalimu anaewanoa..
Certified mamaangu kwa YouTube skills saivi namkimbiza Brendan Rodgers hivyo nikipata leseni anakuwa kocha mkubwaIngia YouTube kule ndiyo kila kitu. Mi mwenyewe nilijifunza Kupika sambusa kule yaani siamini
Mwalimu wa akina Gadiola na Simeon yupo EPL na Leeds unitedHivi uyo kocha wa makocha akifundisha timu si itabeba makombe yote duniani?
Duh!!,kumbe sivyo ninavyo fikiria.Mwalimu wa akina Gadiola na Simeon yupo EPL na Leeds united