Kusomea masters ya international business online.

Kusomea masters ya international business online.

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
10,677
Reaction score
11,768
Wadau nimekuwa najiuliza jinsi ya kusoma masters bila kuwepo kwenye maeneo ya chuo inakuwaje. Kwa sabab mazingira niliyonayo mimi ni ya kujiajiri na nisingependa kupoteza muda wangu kwenye kuhudhuria darasani
Pili ningependa kujua expense zake kama ziko juu sana ukilinganisha na ya full time more than that quality yake inakuwaje? Kipato changu kwa mwezi ukitoa matumizi yote ni usd 2000. Mostly ningependa iwe ya Uk au us
 
Mkuu ni wazo zuri. Kuna vyuo vya UK vinatoa online course ila ni expensive kiasi chake. Kwa nchi kama UK wako strict na quality yao inaheshimika. Unatakiwa ume committed kweli kweli maana hawana mzaha na elimu yao. Kuna scholarship za common wealth kwa ajili ya online masters kwa vyuo vya UK.Cheki hii web kama kuna course inayaokufaa:Commonwealth Scholarship Commission in the United Kingdom | Information for candidates.Kila la heri!!
 
Wazo zuri. Speedy uko wapi. Kama alivyosema mdau hapo juu. Kuna scholarships za Commonwealth kwa online degree na vyuo husika ni vya Uingereza. Waweza kuni PM. Asante sana
 
Back
Top Bottom