Kusomea ualimu kutoka kidato cha nne

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Wakuu kuna mdau kanambia wahitimu wa kidato cha nne hawaendi tena teaching hadi wapitie kidato cha tano na sita.

Mweneye ukweli kuhusu jambo hili naomba anijuze.
 
Wakuu kuna mdau kanambia wahitimu wa kidato cha nne hawaendi tena teaching hadi wapitie kidato cha tano na sita.
Mweneye ukweli kuhusu jambo hili naomba anijuze.

mlikuwa kijiwe cha kahawa wakati anakwambia au?

kumbuka kuna ngazi tofauti tofauti za teaching, kuna certificate level, diploma mpaka degree...

mwalimu wa shule ya msingi (kama serikali ya CCM haijabadili katiba) lazima atokee kidato cha nne akiwa na matokeo ambayo hayajamwezesha kwenda kidato cha tano (that means alifeli...)

I stand to be corrected..
 
Wakuu kuna mdau kanambia wahitimu wa kidato cha nne hawaendi tena teaching hadi wapitie kidato cha tano na sita.
Mweneye ukweli kuhusu jambo hili naomba anijuze.

na we ukakubaliana nae,
 
umekosea kwa kuandika maandishi yenye maana kwamba, walimu ni wale waliofeli mitihani.
 
umekosea kwa kuandika maandishi yenye maana kwamba, walimu ni wale waliofeli mitihani.

ni ukweli unaouma sana! hakuna siku hata moja ukakuta mwanafunzi wa division one akakubaliwa kusoma ualimu wa cheti, na mbali na hiyo hakuna mwanafunzi wa grade one anayekubali kirahisi rahisi kusoma ualimu cheti, degree sawa!

Hata hao waliofeli (kwa sababu wengi hulenga form v as chaguo la kwanza! therefore umefeli first choice! kubali kataa mkuu!) nao walikuwa na malengo ya kwenda mbali.... ualimu is just PLAN B kama gap la kutokea kimaisha!
 
thumb up mkuu..!
 
thumb up mkuu..!

asante baba G.... ualimu hauna maana Tanzania! si umesikia yaliyowatokea huko bukoba?

Uliza mwalimu yeyote atakwambia yaliyoko moyoni, wachache sana (tena inawezekana hawapo kabisa kwa sasa!) wanaoenda kusoma education kwa mapenzi yao, wengi wanakimbia tatizo la ajira, na kuokoa familia zao zisife njaa...!

cc ENANTIOMER
 
Last edited by a moderator:
hivi jamani kwa nini? serikali wasilitolee ufafanuzi jambo hili.................ni kweli kuna manyoka nyoka yapo
hebu angalia waliochaguliwa na serikali wanasomea diploma wakati hawa walioko private wanasomea ngazi ya cheti

sasa ni kitu gani hiki ?
 
True fact,teaching ni professional ya makabwela iwe katika level ya certificate au degree.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni hivo mbona madogo wenye division 4 mwaka huu hawajachukulwa mwana

Mkuu mie kwa upande wangu huwa siafiki kuwa teaching ni fani ya waliofeli,ila ninakubali kuwa teaching ni fani ya watu kutoka family zenye kipato kidogo.
 
kama kuna mwenye div1 o-level akawa mwalimu wa primary anyooshe mkono....!
 
Last edited by a moderator:
True fact,teaching ni professional ya makabwela iwe katika level ya certificate au degree.

Umeandika maneno yenye kuonyesha kama una tabia kama ya wenze zarau.
Nashukuru umemdharau mwalim wako na sio wangu. Walimu wangu wote walifaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…