Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kuna mdau kanambia wahitimu wa kidato cha nne hawaendi tena teaching hadi wapitie kidato cha tano na sita.
Mweneye ukweli kuhusu jambo hili naomba anijuze.
Wakuu kuna mdau kanambia wahitimu wa kidato cha nne hawaendi tena teaching hadi wapitie kidato cha tano na sita.
Mweneye ukweli kuhusu jambo hili naomba anijuze.
mlikuwa kijiwe cha kahawa wakati anakwambia au?
kumbuka kuna ngazi tofauti tofauti za teaching, kuna certificate level, diploma mpaka degree...
mwalimu wa shule ya msingi (kama serikali ya CCM haijabadili katiba) lazima atokee kidato cha nne akiwa na matokeo ambayo hayajamwezesha kwenda kidato cha tano (that means alifeli...)
I stand to be corrected..
umekosea kwa kuandika maandishi yenye maana kwamba, walimu ni wale waliofeli mitihani.
ni ukweli unaouma sana! hakuna siku hata moja ukakuta mwanafunzi wa division one akakubaliwa kusoma ualimu wa cheti, na mbali na hiyo hakuna mwanafunzi wa grade one anayekubali kirahisi rahisi kusoma ualimu cheti, degree sawa!
Hata hao waliofeli (kwa sababu wengi hulenga form v as chaguo la kwanza! therefore umefeli first choice! kubali kataa mkuu!) nao walikuwa na malengo ya kwenda mbali.... ualimu is just PLAN B kama gap la kutokea kimaisha!
thumb up mkuu..!
nina wax wax na iq ya aliyekuambia
asante baba G.... ualimu hauna maana Tanzania! si umesikia yaliyowatokea huko bukoba?
Uliza mwalimu yeyote atakwambia yaliyoko moyoni, wachache sana (tena inawezekana hawapo kabisa kwa sasa!) wanaoenda kusoma education kwa mapenzi yao, wengi wanakimbia tatizo la ajira, na kuokoa familia zao zisife njaa...!
cc ENANTIOMER
Kama ni hivo mbona madogo wenye division 4 mwaka huu hawajachukulwa mwana
True fact,teaching ni professional ya makabwela iwe katika level ya certificate au degree.
asante baba G.... ualimu hauna maana Tanzania! si umesikia yaliyowatokea huko bukoba?
Uliza mwalimu yeyote atakwambia yaliyoko moyoni, wachache sana (tena inawezekana hawapo kabisa kwa sasa!) wanaoenda kusoma education kwa mapenzi yao, wengi wanakimbia tatizo la ajira, na kuokoa familia zao zisife njaa...!
cc ENANTIOMER
True fact,teaching ni professional ya makabwela iwe katika level ya certificate au degree.
kama kuna mwenye div1 o-level akawa mwalimu wa primary anyooshe mkono....!