Kusomea udaktari wa mifugo inalipa sana?

Kusomea udaktari wa mifugo inalipa sana?

Mfano halisi, producer HERMY B ni daktari wa mifugo,graduate wa SUA, jamaa kaamua kupiga zake vinanda,....
Sure kabisa sio lazima ufanye kazi uliyosomea

Japo elimu muhimu inakupa exposure

Kuna watu kibao wamefungia cheti kwenye droo wanafanya harakati zingine tu
 
Vijana acheni kuangalia specialization inalipa mshahara kiasi gani au wazazi wanataka ufanye nini
Fanya ile kitu roho inapenda ndio siri ya mafanikio. hakuna fani isiyolipa ni jinsi wewe mwenyewe unavyoiweka hiyo fani kuna mtu wa CPA analipwa tshs 1m mwingine 2m na mwingine 15m, analipiwa Gym, kila mwaka anapewa 2 tickets go and return to any destination
Nina vijana wangu niliishawaambia kabisa sitakuja kumchagulia mtu couse ya kufanya, sana sana nitakachokifanya ni KUSHAURI tu na kuhimiza ufanye vizuri zaidi ktk kile unachokipenda na kinachokuwia rahisi kukifanya
Ukitaka kulijua hilo angalia yale masomo ambayo hata ukipewa zile surprise papers huna wasiwasi unafanya huku ukiwa Happy Mungu ametuumba makusudi tukiwa na talanta tofauti ili tusaidiane, ng'amua talanta yako ongeza bidii utafanikiwa
 
ANIMAL SCIENCE NA UPANA WAKE KWA KUJIAJILI ZAIDI NA SIO KUAJILIWA!.

Habarini ndugu zangu!;
Kama mada ilivyojitambulisha
Naomba tu kwa anaefahamu kuhusu kozi hii , hasa kwa kujiajili zaidi na upana wake!...ipoje!

KARIBUNI!
 
Vijana acheni kuangalia specialization inalipa mshahara kiasi gani au wazazi wanataka ufanye nini
Fanya ile kitu roho inapenda ndio siri ya mafanikio. hakuna fani isiyolipa ni jinsi wewe mwenyewe unavyoiweka hiyo fani kuna mtu wa CPA analipwa tshs 1m mwingine 2m na mwingine 15m, analipiwa Gym, kila mwaka anapewa 2 tickets go and return to any destination
Nina vijana wangu niliishawaambia kabisa sitakuja kumchagulia mtu couse ya kufanya, sana sana nitakachokifanya ni KUSHAURI tu na kuhimiza ufanye vizuri zaidi ktk kile unachokipenda na kinachokuwia rahisi kukifanya
Ukitaka kulijua hilo angalia yale masomo ambayo hata ukipewa zile surprise papers huna wasiwasi unafanya huku ukiwa Happy Mungu ametuumba makusudi tukiwa na talanta tofauti ili tusaidiane, ng'amua talanta yako ongeza bidii utafanikiwa

And, the award of the Post of the Year goes to... Adilinanduguze
 
BVM VS ANIMAL SCIENCE YA SUA

Naona watu wanarishana upupu apa, kuhusu hizi kozi za SUA.

Sasa iko hv, kozi ya Animal science Ina waandamana graduates ambao wanna ujuzi wa ufugaji wa wanyama wafugwao, utayarishaji wa chakula Cha mifugo pamoja na breeding ( nimekosa kiswahili fasaha)

Ajira za animal science ni Kama kozi nyingine tyu so nyingi Wala so chache ni kupambana tyu, japo wengi wanaajiriwa serikalini na private companies za mifugo.

Kwa upande wa kujiajili, fresh Kama uko interested na kufuga kuku, mbuz na ng'ombe.ila Kama hauko interested na mifugo ww ni sharobaro achana nayo tafuta kozi nyingine mapema.

Kwa BVM, apa ndo Moto kabisa, in general BVM wanaandaliwa kuwa wataalamu wa kufuga, breeding, matibabu na chakula Cha mifugo though wanabezi kwenye matibabu Sana.

Ajira zake ni chache kwa sasa nawajua weng ambao hawajaajiriwa na baadhi walio ajiriwa.

Kujiajili iko poa, weng wanauza maduka ya madawa na kuoractice medicine mtaani, Koo Kama uko interested kukimbizana na ng'ombe mtaani hutalala njaaa, nakujakikishia, ila Kama unapenda kuvaa labcoat upige selfie utuoie insta achana na hii kozi

Mwisho kua na taarifa sahihi ya kozi unayo taka kusoma, usije mlaumu mtu mbeleni, fanya unachokipenda ambacho uko tayar kufanya maisha yako yote. .

With love,
The mission 2017.
 
Back
Top Bottom