BVM VS ANIMAL SCIENCE YA SUA
Naona watu wanarishana upupu apa, kuhusu hizi kozi za SUA.
Sasa iko hv, kozi ya Animal science Ina waandamana graduates ambao wanna ujuzi wa ufugaji wa wanyama wafugwao, utayarishaji wa chakula Cha mifugo pamoja na breeding ( nimekosa kiswahili fasaha)
Ajira za animal science ni Kama kozi nyingine tyu so nyingi Wala so chache ni kupambana tyu, japo wengi wanaajiriwa serikalini na private companies za mifugo.
Kwa upande wa kujiajili, fresh Kama uko interested na kufuga kuku, mbuz na ng'ombe.ila Kama hauko interested na mifugo ww ni sharobaro achana nayo tafuta kozi nyingine mapema.
Kwa BVM, apa ndo Moto kabisa, in general BVM wanaandaliwa kuwa wataalamu wa kufuga, breeding, matibabu na chakula Cha mifugo though wanabezi kwenye matibabu Sana.
Ajira zake ni chache kwa sasa nawajua weng ambao hawajaajiriwa na baadhi walio ajiriwa.
Kujiajili iko poa, weng wanauza maduka ya madawa na kuoractice medicine mtaani, Koo Kama uko interested kukimbizana na ng'ombe mtaani hutalala njaaa, nakujakikishia, ila Kama unapenda kuvaa labcoat upige selfie utuoie insta achana na hii kozi
Mwisho kua na taarifa sahihi ya kozi unayo taka kusoma, usije mlaumu mtu mbeleni, fanya unachokipenda ambacho uko tayar kufanya maisha yako yote. .
With love,
The mission 2017.