Kusubiri CCM wakubali kutoa Reforms ili Uchaguzi ufanyike ni kupoteza muda

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Katika mambo ambayo CCM wamefaulu ni kujipenyeza na kuweka mizizi kwenye kila ofisi ya umma.

Ofisi zote za umma CCM wameziweka kwapani.

That's why Gwajima alisema CCM iwape CHADEMA reforms na si INEC yenye mamlaka.

Kwahiyo reforms zikitoka ni zile structured kutoka ofisi ya CCM ambazo ni viini macho.

Ndio maana nasema lazima uwe na D mbili za Milembe ndio ukae utulie usubiri reforms za uchaguzi ili uitoe CCM madarakani.

CCM wataendelea kutawala kwasababu wananchi hawajielewi.
 
Kama hamna reform hamna haja upinzani kushiriki kwa sababu kushiriki ni kukubali kuwa tume ni huru kitu ambacho sio kweli! Na hapa kama chadema nawapongeza sana
 
Katika mambo ambayo CCM wamefaulu ni kujipenyeza na kuweka mizizi kwenye kila ofisi ya umma.

Ofisi zote za umma CCM wameziweka kwapani.

That's why Gwajima alisema CCM iwape CHADEMA reforms na si INEC yenye mamlaka.

Kwahiyo reforms zikitoka ni zile structured kutoka ofisi ya CCM ambazo ni viini macho.

Ndio maana nasema lazima uwe na D mbili za Milembe ndio ukae utulie usubiri reforms za uchaguzi ili uitoe CCM madarakani.

CCM wataendelea kutawala kwasababu wananchi hawajielewi.
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Back
Top Bottom