ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na hayo maono ili uonyeshwe inatakiwa uweje..uwe huna dhambi au hata ukiwa wa kawaida tu unapewa maonoWe unaombaje bila ishara omba Mungu kwa ishara Muombe Mungu akuoneshe hata kwa ishara Mungu huonesha kwa ishara.
Kama atakuonesha kwenye maono kuwa binti atakayekuwa wa kwanza kukusalimia kesho basi ndiyo mkeo huyo hafu nenda katege maeneo wanapopita mabinti kusubiria jibu.
dhambi zinaingiaje hapo kwenye kutafuta mke? Anataka update mke kutoka kwake ili usifanye zambi za wasio na wake na kuzama huko. Hakuwindi ili akuadhibu.Na hayo maono ili uonyeshwe inatakiwa uweje..uwe huna dhambi au hata ukiwa wa kawaida tu unapewa maono
Hii kusema kwamba mke mwema anatoka kwa MUNGU naikataa kwa kweli kwa sababu hao wanawake wema Duniani Hapa nahisi wamebakia wachache mno
Sasa Cha msingi Bora tu ukiona umechoka kulala peke yako au kujifulia nguo Basi Bora utafute mwenyewe usisubiri kwa kusali peke yake haitoshi jiongeze.
John atafutiwe mpenzi mara moja, amechoka kujikuna na boxa mgongoni
Noma sanaHii kusema kwamba mke mwema anatoka kwa MUNGU naikataa kwa kweli kwa sababu hao wanawake wema Duniani Hapa nahisi wamebakia wachache mno Sasa Cha msingi Bora tu ukiona umechoka kulala peke yako au kujifulia nguo Basi Bora utafute mwenyewe usisubiri kwa kusali peke yake haitoshi jiongeze.