ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii kusema kwamba mke mwema anatoka kwa MUNGU naikataa kwa kweli kwa sababu hao wanawake wema Duniani hapa nahisi wamebakia wachache mno.
Sasa cha msingi bora tu ukiona umechoka kulala peke yako au kujifulia nguo basi bora utafute mwenyewe usisubiri kwa kusali peke yake haitoshi jiongeze.