Kusudi la "Date" ni nini hasa na utaratibu uko vipi?

Kusudi la "Date" ni nini hasa na utaratibu uko vipi?

Kusudi la ku"date" ni kufanya ngono mwisho wa siku.
 
Kwa sisi "fm academia" tumezoea kuwa na kidate then mengine yanafuata. "Kidate, date, dating" ni neno ambalo lina maana zaidi ya moja. Inategemea wewe unalitumia vipi ama unataka limaanishe nini. ie word "meza" has more than one meaning in swahili and different meaning in Portuguese
 
Cantalasia -Hahahaha duh, labda katika mawasiliano yenu inaonyesha ulikuwa wamuintertain kumpa issue siku hiyo lol! na hiyo avatar yako unaonekana utakuwa mtata sana
 
Hapa nimejifunza kitu. Asanteni wote mliochangia mawazo yenu.
 
Back
Top Bottom