Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Ni swali unalouliza binadamu wenzako ambao ni sawa na wewe
 
Kusudi la kuwepo duniani ni moja ya maswali makubwa na ya kale zaidi katika historia ya mwanadamu. Jibu la swali hili halina mwelekeo mmoja, bali limegawanyika katika mitazamo mikuu minne: Kiroho/Kudini, Kifalsafa, Kibaolojia, na Kisaikolojia.
Kifupi chagua MOJA KUSUKA AU KUNYOA
 
Kwa ujumla maisha hayana maana wala kusudi lolote lile.

Binadamu ndio anaamua kusudi lake maishani ni lipi. Na huishi hivyo alivyo amua.
Kwa hiyo hata maskini au mtu kachagua!? Tukienda na dhana ya kusema mtu huchagua tunakosea maana hata free will yenyewe ni illusion pia
 
How does it feel to let go of ego? Je hiyo hali unavyo isema ya kuwa kama mtoto Mbona wengi inakuwa ngumu kuifikia? Na hata kwa glimpse tukiiifikia bado the world distracts us just like the matrix?
 
Mkuu, Kama wewe kulala kwenye ngozi ya fisi kunatimiza kusudi lako Enjoy maana raha ya maisha ni kuishi kwa kuyafurahia hakuna la zaidi.
 
How does it feel to let go of ego? Je hiyo hali unavyo isema ya kuwa kama mtoto Mbona wengi inakuwa ngumu kuifikia? Na hata kwa glimpse tukiiifikia bado the world distracts us just like the matrix?
Mkuu, Kiukweli nkikueleza kwa maneno nitakua nimekudanganya, sababu sioni maneno ya kuelezea.

Pia ukiifikia, bado utahitaji kufanya na kujipa utulivu sababu haujauacha mwili wa nyama.

Tatu, kosa kubwa tunaloliishi watu wengi ni kudhani mambo yako tofauti, i.e familia, kazi, kiroho n.k ila kiukweli ni kua vyote ni kitu kimoja tu.

Nne, Unapovua vazi la Ego kuna vitu vingi hutaona umuhimu navyo kabisa na utajikuta umeviacha hivyo distractions unabaki kuzifata ww mwenyewe na utazifata na zitakushinda.

mwisho, ni kama ulivyosema ni ngumu na sababu ni ngumu ndio maana kuna watu ambao kazi yao ni kukupunguzia huo ugumu, watu ambao tunatambua kua hii safari kwa wengine hawana uthubutu wa kuianza hivyo tunakua kama daraja.
 
Ninekuuliza kwa sababu watu wengi tuna I Fanya ego kama enemy!

The ego mind huwa ni kama kisu the same kisu cha kufungulia satori(enlightenment) lakini pia ndo kisu cha kukuchoma pale unalodhani ni kitu cha kuhold on to.

Nimekuwa kwenye spiritual journey for a while ila nimegundua it was a lie, the budha did all the searching, the meditation, the chanting ila ili kufikia enlightenment alijua he had to let go even the very process of searching.
 
"Bwana wetu na Mungu! Unastahili kupokea utukufu, heshima na nguvu. Uliumba vitu vyote. Kila kinachoishi kiliumbwa kwa sababu ulitaka."
Ufunuo.4.11.TKU

Tuko duniani kwasababu yupo aliyetaka tuwepo.

Kwasababu alitaka tu tuwepo.

Anapenda kutuona.

Fikiria chochote ulichonunua ambacho hukihitaji lakini unakipenda tu:

Picha. Maua. Urembo wowote. Sofa lenye design flani.

Au wale wanao collect vitu, ana collect ma coin, saa, Kuna watu wananunua vintage cars uli wayaone tu yamepaki hata hawaendeshi.

We're so much like our creator.
 
Jina tulilojiita tukitaka kujitofautisha na viumbe wengine
Hujajibu tutajuaje huyu binadamu na huyu si binadamu. Unapimaje?

Pia, unapoukiza kusudi la binadamu kuwa hapa ni nini, unakusudia kusudi la nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…