Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #81
Je tunaishi kama aliyetaka tuwepo?"Bwana wetu na Mungu! Unastahili kupokea utukufu, heshima na nguvu. Uliumba vitu vyote. Kila kinachoishi kiliumbwa kwa sababu ulitaka."
Ufunuo.4.11.TKU
Tuko duniani kwasababu yupo aliyetaka tuwepo.
Kwasababu alitaka tu tuwepo.
Anapenda kutuona.
Fikiria chochote ulichonunua ambacho hukihitaji lakini unakipenda tu:
Picha. Maua. Urembo wowote. Sofa lenye design flani.
Au wale wanao collect vitu, ana collect ma coin, saa, Kuna watu wananunua vintage cars uli wayaone tu yamepaki hata hawaendeshi.
We're so much like our creator.
Lengo la nani?Lengo
Chanzo au kisababishi cha uwepo wetu ni nini?Hujajibu tutajuaje huyu binadamu na huyu si binadamu. Unapimaje?
Pia, unapoukiza kusudi la binadamu kuwa hapa ni nini, unakusudia kusudi la nani?
Ni wazazi.Chanzo au kisababishi cha uwepo wetu ni nini?
Na wao walitoka wapi na wapi?Ni wazazi.
Kwa wazazi wao na wazazi wao, kasome evolution ufaona details zote, unacholenga kufahamu ni nini?Na wao walitoka wapi na wapi?
Yes, Ego sio enemy.Ninekuuliza kwa sababu watu wengi tuna I Fanya ego kama enemy!
The ego mind huwa ni kama kisu the same kisu cha kufungulia satori(enlightenment) lakini pia ndo kisu cha kukuchoma pale unalodhani ni kitu cha kuhold on to.
Nimekuwa kwenye spiritual journey for a while ila nimegundua it was a lie, the budha did all the searching, the meditation, the chanting ila ili kufikia enlightenment alijua he had to let go even the very process of searching.
Ego mind, nadhani ni dhana ya kufikilika sana na mara nyingi haiakisi uhakisia, kwanini tusiseme ego ni low consciousness, au vibrational state?Yes, Ego sio enemy.
Changamoto kubwa ni kwenye integration ya body, mind and spirit.
Changamoto nyingine ni EGO "lower self" ikivaa Vazi la spiritualism, ndio unakuta kama hawa wa instagram au wanaanza kutumia kama identity tena, Hii mbaya sana.
Mimi Naona pia huwa Kuna divine interaction ambayo ina decide either u advance au ubaki pale pale.Yes, Ego sio enemy.
Changamoto kubwa ni kwenye integration ya body, mind and spirit.
Changamoto nyingine ni EGO "lower self" ikivaa Vazi la spiritualism, ndio unakuta kama hawa wa instagram au wanaanza kutumia kama identity tena, Hii mbaya sana.
Evolution ni mawazo ya hao hao binadamu katika kujipa umuhimuKwa wazazi wao na wazazi wao, kasome evolution ufaona details zote, unacholenga kufahamu ni nini?
Hunasoma evolution?
Umejibu kiimani, vipi kisayansi?Jibu sahihi hili hapa.
Kila kiumbe kina kusudi la ki Design.
Haya umeumba Dunia ina mazingira.
Kuna nyasi zinazo kua bila kukatika zenyewe...kuweka mambo sawa unaumba wanyama wanaokula nyasi na majani.Wanyama kama swala,nyati,sungura nk.Hawa wanasaidia kupunguza nyasi maeneo mbali mbali duniani.
Kuna wanyama wengine kusudi lao duniani ni kupunguza idadi ya wanyama wengine...mfano simba kuwinda swala.Hadi wadudu hula wadudu wengine.
KUSUDI LA BINADAMU DUNIANI NI KUSIMAMIA VYOTE.KUTIBU WANYAMA,KULINDA MAZINGIRA ,KUFANYA DUNIA IWE NA MAANA MACHONI PA MUNGU nk.
Hali ya Leo ...watu kuwa bize na maisha ni kutokana na muundo wa jamii hasa serikali.Halikuwa kusudi la mungu .
Thobitisha hili kimantiki na kisayansi, kwa ushahidi na mifano, tujue na wewe hujajipa umuhimu wa kuparamia mambo yaliyokuzidi bila kuyaelewa.Evolution ni mawazo ya hao hao binadamu katika kujipa umuhimu
Kisayansi ...sizani kama inawezekana .Labda tudai kuwa tupo duniani kwa sababu ya biological function ya viungo vya uzazi. Kusudi linaweza kuwekwa na binadamu mwenyeweUmejibu kiimani, vipi kisayansi?
tumekuja kutumiana, mwenye nacho atamtumia na asie nacho atatumika.kusindikiza Elon na wenzie!