Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #101
Thobitisha hili kimantiki na kisayansi, kwa ushahidi na mifano, tujue na wewe hujajipa umuhimu wa kuparamia mambo yaliyokuzidi bila kuyaelewa.
Sawa, swali litakuja, binadamu wa mwanzo alitoka wapi?Kisayansi ...sizani kama inawezekana .Labda tudai kuwa tupo duniani kwa sababu ya biological function ya viungo vya uzazi. Kusudi linaweza kuwekwa na binadamu mwenyewe
Kwa nini wewe upo duniani? Je ulijileta?dunia haina kusudi, bali binadamu ndo anayeamua kusudi lake liwe vipi
Hiyo ni kiimani, je kisayansi tunaweza kupata jibu?Mkuu aliyetengezeza kitu ndiye mwenye kusudi "trace the source" kijiko hakiwezi kujua kusudi lake ila aliyekiunda (he know the purpose). Unataka kujua kusudi, mjue Mungu wako kwanza, Yeye ndiyo sababu ya uwepo wako.
Inawezekana ikawa hivyo.Dunia imejireta yenyewe kama magonjwa yanavyoibuka yenyewe
sijajileta, bali nmejikuta nipo na ninaamua niishi vipi ili kuyamudu maisha vyemaKwa nini wewe upo duniani? Je ulijileta?
Sayansi inaafiki juu ya uwepo wa chanzo "source"Hiyo ni kiimani, je kisayansi tunaweza kupata jibu?
Kwa hiyo muhimu ninkugegedana au sio mwanawaneKuzaliana na kufa
Un uhakika gani kama ni maneno ya Mungu?Siku utakayopata Nuru utakumbuka kwamba Mungu alisema Natumfanye mtu kwa mfane wetu.Na mtu si mwili ni roho iliyondani ya mwili.Kwa ufupi kama tusingemwasi kupitia Adamu,kuzaliwa kwetu kungekuwa na maana;tungekuwa mfano wake na kutawala viumbe vyake.Baadaye Mungu anawarejesha watu wakubaliyo mipango yake ili kusudi lake litimizwe.kwa hiyo wewe na Mimi si bure Mungu ana makusudi nasi
Binadamu wa kwanza Aliumbwa na Mungu. Kisayansi labda tuseme Mungu alitumia Design na Material (udongo) kuumbaSawa, swali litakuja, binadamu wa mwanzo alitoka wapi?
Kusudi kubwa la kuja duniani ni kujua utakufa ukiwa na msimamoupi?/ ukisimamia kusudi lipi?ukisimami hatima ipi hapa duniani na milele.Hiyo ndiyo inaitwa kujitambua na kutambua kusudi lako la kuishi hapa duniani.
Mifano...
1)TINDU LISU anajua kusudi lake la yeye kuja hapa duniani amejitambua anaju ni msimamo upi na kusudi lipi atalisimamia hapa duniani milele mpaka kifo.
2)YESU KRISTO mitume na manabii walijua kusudi la maisha yao hapa duniani na walisimamia imani yao na kuishi .kuyaishi makusudi ya maisha yao hapa duniani na milele.
3)CHE GUAVARA,NYERERE,PATRICK LUMUMBA,SAMORA MACHELE,..MOUMAR GADAFI hawa walijua kusudi la maisha yao hapa duniani na wali ishi maisha yao katika KILE WANACHOKIAMINI hata mpaka kufa
wengine ni POLE POLE ,MDUDE NYANGALI N.K
unaweza ukadhani wamekufa ila HAWAJAFA hawa ni washindi waliishi maisha yao katika kile wanachokiamini kwa gharama ya maisha yao waliishi katika kusudi laoo la maisha yao bila kuyumba wala kutetereka mpaka last drop of their blood and last breath,,hivyo bado WANAISHI mpaka leo japo kimwili walikufa mara MOJA TU/siku moja tu..ni kujua ulizaliwa mara moja tu/siku moja tu na utakufa mara moja tu siku moja tu
HALAFU KUNA HAWA
1)MACHAWA coward wasaliti akina YUDA wanafiki ,bendera fuata upepo ,wasiokuwa na msimamo wanaojiuza utu wao kwa vipande vya fedha na kuwauza wenzao,kuwachomesha kuwalengesha wauwawe WASALITI ,MACHAWA wanaosifia maovu,WANAO WAABUDU NA KUWALAMBA MATAKO wanasiasa na watawala,WASIOKUWA NA MSIMAMO ,wanaowasaliti familia zao ,watu wanao waamini ,wanajisaliti hata wai wenyewe WAMEIKANA IMANI YAO ,WAMEUZA UTU WAO wamejitoa ufahamu ,wamejitoa akili,wanajisiliti hata wenyewe imani zao,
HAWA WAMESHAKUFA INGALI WAPO HAI...ila ni wafu..wanaishi maisha MFU...FAKE...na wanakufa mara nyingi kila dakika ya maisha yao wanayoishi wakiwa wafu kila siku.
MANDELA,LISU ni baadhi ya mifano ya watu wanaoishi kusudi la wao kuja duniani,wanajua wapo duniani kwa ajili ya kufanya nini na wanaishi maisha yao kusudi lao milele.,MANDELA ,NYERERE wanaishi mpaka leo.
Je huyo Mungu unayemmaanisha hapa ni yupi?Mkuu aliyetengezeza kitu ndiye mwenye kusudi "trace the source" kijiko hakiwezi kujua kusudi lake ila aliyekiunda (he know the purpose). Unataka kujua kusudi, mjue Mungu wako kwanza, Yeye ndiyo sababu ya uwepo wako.
so kwa kifupii kusudi la kuwepo duniani ni ili TUFE ,hii ni fact kwamba lazima wote tufe,so ni vyema UKAFA MARA/SIKU MOJA TU kwa vile ulizaliwa MARA MOJA/SIKU MOJA TU..kuliko kuishi maisha ya ki COWARD ukiwa umekufa mara nyingi kila dakika ya maisha yako unaishi maisha MFU fake ya KICHAWA kinyume na kusudi lako na imani yako,maisha ya KINAFIKI ya kulamba watu miguu/kuwaabudu binadamu wenzako badala ya kumuabudu MUUMBA WAKO anayeweza kuua both mwili na roho...USIOGOPE..ISHI SASA ILI UFE MARA MOJA siku moja.
Ahsante kwa mtazamo wako.Lengo la nani?
Maisha hayana lengo, wewe unayeishi ndiye unaamua maisha yako lengo lake ni nini.
Mandela hakuzaliwa kwa lengo la kumaliza ubaguzi wa rangi wa makaburu Afrika ya Kusini.
Aliamua mwenyewe kuyapa maisha yake lengo hilo.