O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 4,031 Reaction score 6,156 Jun 13, 2026 #141 Kiranga said: Thibitisha kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo. Nje ya proof by contradiction or mathematical proofs. Do you even understand my point? Click to expand... Narufia njia Ile Ile unayotumia kuthibitisha kipo ndio hiyo hiyo unaweza thibitisha hakipo. Thibitisha Mungu hayupo?
Kiranga said: Thibitisha kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo. Nje ya proof by contradiction or mathematical proofs. Do you even understand my point? Click to expand... Narufia njia Ile Ile unayotumia kuthibitisha kipo ndio hiyo hiyo unaweza thibitisha hakipo. Thibitisha Mungu hayupo?
H herman3 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2015 Posts 597 Reaction score 792 Jun 13, 2026 #142 Kuifanya dunia kuwa mahali bora zaidi, kuliko nilivyo pakuta.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Jun 13, 2026 #143 OgaBoy said: Narufia njia Ile Ile unayotumia kuthibitisha kipo ndio hiyo hiyo unaweza thibitisha hakipo. Thibitisha Mungu hayupo? Click to expand... Hujathibitisha hata kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo. Thibitisha. Acha kusema unaweza kuthibitisha, thibitisha tuone.
OgaBoy said: Narufia njia Ile Ile unayotumia kuthibitisha kipo ndio hiyo hiyo unaweza thibitisha hakipo. Thibitisha Mungu hayupo? Click to expand... Hujathibitisha hata kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo. Thibitisha. Acha kusema unaweza kuthibitisha, thibitisha tuone.