Kusudio la kuishtaki kampuni ya mawasiliano ya simu

cai

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,330
Kutokana na mwendelezo unaofanywa na hii mitandao ya simu nakusudia kuishtak kampuni ya tigo kitengo cha tigopesa kwa kutonirudishia hela yangu niliyokosea kutuma yapata miezi miwili iliyopita, kila nikiwapigia wananipiga danadana tu, naona kutokana na kesi hiyo hizi kampuni zitakuwa siriaz kidogo kudeal na Wateja wao
 
kwenye suala la kukosea miamala ambao wamejizatiti vizur nahisi ni voda tuu ndani ya masaa 24 kitu tayr,
 
haya makampuni ya simu ipo siku tutayakabidhi kwa makonda ayanyoshe kidogo maana yanatuchosha sasa
ipo siku yao.
kama vile hayajui biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…