cai
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,351
- 1,330
Kutokana na mwendelezo unaofanywa na hii mitandao ya simu nakusudia kuishtak kampuni ya tigo kitengo cha tigopesa kwa kutonirudishia hela yangu niliyokosea kutuma yapata miezi miwili iliyopita, kila nikiwapigia wananipiga danadana tu, naona kutokana na kesi hiyo hizi kampuni zitakuwa siriaz kidogo kudeal na Wateja wao