Mkuu Emilias G Mpeleke Hospitali ukamuone daktari ili aweze kupima na kujuwa ni nini chanzo chake hayo maradhi na ndio ataweza kutatuwa hilo tatizo lako pole sana.Asante kwa maelezo hayo sanjari na picha,lakini nimejaribu kumchunguza mwanangu na kugundua kuwa akiwa anaumwa ndio kasi ya kutafuna meno huongezeka ila akitibiwa hupungua au kuacha kwa muda..Nifanye nini ili hali ikome kabisa kwa mwanganu wa kiume miaka 2 na miezi 7 sasa..?
Mkuu Emilias G Mpeleke Hospitali ukamuone daktari ili aweze kupima na kujuwa ni nini chanzo chake hayo maradhi na ndio ataweza kutatuwa hilo tatizo lako pole sana.
du mkuu hayajaisha tu hayo kweli!
haya mkuu ngoja tusubiri wataalam waje watuambie!!Bado yapo . C unajua nimekulia kijijini kwa hio calcium ya kutosha tu
haya mkuu ngoja tusubiri wataalam waje watuambie!!
sasa kuna mtu ana tatizo kama lako ika yeye ankula jucha moaka vidole vinatoa damu,,nadhani ni kama tatizo la kukoroma labda uwe una pumzika mchana,au huotagi kama unatafuna usiku??
sasa kuna mtu ana tatizo kama lako ika yeye ankula jucha moaka vidole vinatoa damu,,nadhani ni kama tatizo la kukoroma labda uwe una pumzika mchana,au huotagi kama unatafuna usiku??
Dah...! Umenikumbusha nilivyokua nasoma shule ya msingi mkoa fulani kulikua na jamaa alikua na tatizo kama hilo. Lakini yeye ilikua inamtokea mara kwa mara tukiwa darasani. Kabla hajaanza kusaga meno yake lazima anakua anaongea ongea maneno fulani.
Ilikua inawapa shughuli walimu kwani ikimuanza hali hiyo ilikua lazima aitwe dada yake ambaye alikua darasa lingine amchukue jamaa kumrudisha nyumbani huku akisindikizwa na viranja wawili. Jamaa alikua anakua aggresive kimtindo.
Je umekua na tatizo hili kwa muda gani?
Pole mkuu kwa tazizo lako..
- muone "dentist" atakusaidia...
- atakupima na utatengenezewa "frem" kava ya plastiki unavaa juu ya meno wakati wa kulala...
-tatizo hili mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo...
-athari zake ni kulika kwa "layer" ya juu ya meno hivyo kupata ukakasi mara kwa mara (yaani meno kuwa sensitive sana..
-yupo mtu mwenye tatizo kama lako yeye baada ya kushindwa gharama za hospitali aliamua kufikicha vipande vya magazeti na kuvijaza mdomoni kabla hajalala " ilimsaidia"
Kila la kheri