Kusugua au kusigina meno wakati mtu yupo usingizini

kuna mtu hapo kakwambia ulale uweke kidole mdomoni ja,bo ambalo binafsi naliona gumu sana lazima utakitoa,fanya hivi mwambie mke wako akisikia tu unaanza kutafuna akushtue fanya hilo zoezi na baada ya muda uta adapt lakini pia jaribu kusoma katika google kuhusu hilo tatizo nadhani utapata solution,pole
 
Unakuwa una simulate unatafuna bloiler wa kwa bonge pale kona bar
 
Thnx I will try that too!
 
Kweli uzee mwisho chaliNze Babu mzima ni mwendo wa Ucku badala ya Usiku! Nenda ufanyiwe maombi babu!

For u r info mm sikai dar wala karibu na dar. Kuandika kwa kifupi kunapunguza muda wa kuandika. Mtu mwenye akili time is money!
 
Hilo ni tatizo la uzee, na ukiona hivyo jua kwamba uko jirani kufa.
Anza kuandika mirathi.
Pia nadhani ulikuwa ukipiga denda sana thats why muda wote unadhani uko na mwanamke mkipigana madendaz.
 
Mkuu ulizoea kutafuna mifupa na ukaacha ghafla ndio sababu,tiba anza tena kula mifupa.
 
Hilo ni tatizo la uzee, na ukiona hivyo jua kwamba uko jirani kufa.
Anza kuandika mirathi.
Pia nadhani ulikuwa ukipiga denda sana thats why muda wote unadhani uko na mwanamke mkipigana madendaz.

Daaah safari ya mamba kenge hawakosi bwana.
 
Hilo ni tatizo la uzee, na ukiona hivyo jua kwamba uko jirani kufa.
Anza kuandika mirathi.
Pia nadhani ulikuwa ukipiga denda sana thats why muda wote unadhani uko na mwanamke mkipigana madendaz.

Mkuu wewe ni kiboko ya madaktari.
 
Mtoto wangu miaka mi3 ana Tatizo hilo pia

Kwa watoto nasikia ni kawaida kwa sababu ya ndoto ingawa sio rahisi kujua kawaida maana yake nn. Thats why nikuwa natafuta mtu kama doctor hivi afafanue hilo kama hua lipo kitabibu au ni kitu hakielezeki kabisa sababu yake.
Kuna mjinga aliniconnect na watu wa dawa za asili then straight wakadai nimelogwa waje kunitibu for three days ! Kiukweli kuna mambo ya kuchezewa hata mwenyewe utahisi tu hata kabla hujaambiwa bt hata kutafuna meno nako jmn!
 
Mkuu wewe ni kiboko ya madaktari.

I wish angeniona nafafanaje ha ha haaa pengine atakufa hata kabla yangu. Age aint nothing mkuu. Inategemea sana na genes za ukoo wenu, maisha yako kwa ujumla n hw u take care of yo self!
 
I wish angeniona nafafanaje ha ha haaa pengine atakufa hata kabla yangu. Age aint nothing mkuu. Inategemea sana na genes za ukoo wenu, maisha yako kwa ujumla n hw u take care of yo self!

Lakini mkuu ni jokes tuu naamini hayuko serious!
 
Pole sana Lupituko. Huu sio ugonjwa kama magonjwa mengine. Unahitaji kumuona daktari wa meno kwa ushauri zaidi.
inawezekana kuwa utahitaji kifaa kinachoitwa "occlusal/mouth guard".
 
Pole sana Lupituko. Huu sio ugonjwa kama magonjwa mengine. Unahitaji kumuona daktari wa meno kwa ushauri zaidi.
inawezekana kuwa utahitaji kifaa kinachoitwa "occlusal/mouth guard".

Thnx kwa ushauri. Wewe mtu wa pili kuniambia hivo I will try that one nione watasemaje.
 
Lakini mkuu ni jokes tuu naamini hayuko serious!

Ni kweli anajoke for sure. Basi tu mkuu I was carried away c unajua mtu unashida halafu mwenzio analeta matani bt anyway ndio maisha bila watu kama hao cku hazisongi mkuu. anisamehe tu bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…