Kusuguliwa kucha kwa wanawake: Mbona wafanya kazi hii wengi ni wanaume??

Mtu Tajiri

Senior Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
150
Reaction score
180
Hii biashara ya kupaka kucha na kuosha miguu wanawake kwakweli ina maswali mengi???

1.Kwanini wanaofanya kazi hii wengi ni wanaume tu??

2.Ama kuna Jambo lingine muoshwaji anapata mbali na Urembo??

3.Wakati wa kusuguliwa haiwezekani hasa muoshwaji akajikuta anaamshwa kihisia??

4.Maswali ni mengi mpaka mtu anaweza kumtilia shaka mke wake kwakweli

Wanawake hasa watoe Ukweli hasa wa hili
 
Yaani wanatuzalilisha sana hawa wanaume
Hata juzi Jumamosi nilikuwa pale mitaa ya Sinai kwenye machinjio ya kitimoto, nikakuta mwanamme katikati ya wanywa pombe amepakatwa mguu anaoshwa, tena wa kutoka taasisi yenye heshima kabisa hapa nchini, walikuwa wamepaki na gari lao hapo pembeni yuko na wafanyakazi wenzie
 
Huu ujinga sitaki hata kuusikia, mimi nitaua wallahy. Tena siku hizi hao wapaka rangi wanapanda hadi karibu na magoti kuosha miguu. Yaani saa zingine unakuta mwanke kalegea kabisa.
 
😛😛😛😛😛😛😛😛
 
hatari sana mkuu... Mm siku nikimuona mwanamke mwenye hijab na niqab anafanyiwa hayo mambo naacha kutumia smartphone... hili suala nio la mwanamke kujielewa na kujua thamani ake tu .. yaani mmama anaoshwa mapaja makumbusho stendi pale tena jioni

hivi anakua ameshindwa kuogea nyumbani au ni nini ?/
 
Hata juzi Jumamosi nilikuwa pale mitaa ya Sinai kwenye machinjio ya kitimoto, nikakuta mwanamme katikati ya wanywa pombe amepakatwa mguu anaoshwa, tena wa kutoka taasisi yenye heshima kabisa hapa nchini, walikuwa wamepaki na gari lao hapo pembeni yuko na wafanyakazi wenzie
Duh.. Godforbid
 
Wanaume Labda Massage Lakini kusuguliwa hapana.Lakini wewe hujawahi kusuguliwa na hawa mabwana ujibu kama kuna kusisimka ama Lah??
Mimi sijawahi kusisimka kwenye kitu ambacho hakinihusu. Nasisimkaje kwa mwanamme ambaye sina uhusiano naye wa kimapenzi? Labda kama nimepatwa na JINI MAHABA
 
Mmh!!Kweli hisia zenu ziko mbali.Yaan kanjemba kanasugua na kuosha miguu dakika zote wewe unakodoa macho tu!!!!!
 
Back
Top Bottom