Kusuguliwa kucha kwa wanawake: Mbona wafanya kazi hii wengi ni wanaume??

Kusuguliwa kucha kwa wanawake: Mbona wafanya kazi hii wengi ni wanaume??

hatari sana mkuu... Mm siku nikimuona mwanamke mwenye hijab na niqab anafanyiwa hayo mambo naacha kutumia smartphone... hili suala nio la mwanamke kujielewa na kujua thamani ake tu .. yaani mmama anaoshwa mapaja makumbusho stendi pale tena jioni

hivi anakua ameshindwa kuogea nyumbani au ni nini ?/
Mmoja wapo Mimi
 
Hii biashara ya kupaka kucha na kuosha miguu wanawake kwakweli ina maswali mengi???

1.Kwanini wanaofanya kazi hii wengi ni wanaume tu??

2.Ama kuna Jambo lingine muoshwaji anapata mbali na Urembo??

3.Wakati wa kusuguliwa haiwezekani hasa muoshwaji akajikuta anaamshwa kihisia??

4.Maswali ni mengi mpaka mtu anaweza kumtilia shaka mke wake kwakweli

Wanawake hasa watoe Ukweli hasa wa hili
Na wanaofanya massaging wengi ni wanawake, endelea kujiuliza
 
Back
Top Bottom