Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Uliondoka kwa sababu madudu yao yalikua yanakugusa au kwasababu ya harufu?
 
Ah wapi,si kwakunuka kule,astaghfir Allah, yani hiyo harufu kwanza hata hamu inakata ,mijitu hata boxer hawavai
wakajistiri...
Umenikera sana na kauli zako. Why unaita watu mijitu.

Huna adabu wewe mwanamke
 
Sasa kwan uguswa na dudu ajabu au sababu wananuka?
 

Wenzako huwa wanajiadai wamekosea wanayameza mdomoni... wanaishia kusukwa bure kuanzia siku hiyo....
 
Wananuka hivyo hivyo ndugu... Wadada wanavuilia tu. Mimi sijawai sukwa na mmasai, hizo nywele nilisuka mara moja tu huko nyuma ila ni mkaka tu wa kawaida ndo alinisuka
 
Wenzako huwa wanajiadai wamekosea wanayameza mdomoni... wanaishia kusukwa bure kuanzia siku hiyo....
mmmmmmmmmh apana kwa style ile na harufu sidhani kama wanaweza kuvumilia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…