Kusuka rasta/ ama nywele bandia kunaweza kukusababishia saratani?

Kusuka rasta/ ama nywele bandia kunaweza kukusababishia saratani?

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Wanawake na wanaume maana siku hizi hata wanaume nao wanasuka rasta kuna jambo muhimu sana la kulifahamu na kujifunza zaidi!

Afya ni moja ya mtaji mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku bila kuwa na afya njema basi hilo ni tatizo
============
Je unajua kusuka rasta/ ama nywele bandia kunaweza kukusababishia saratani?
Mitindo ya nywele ya kusuka kwa kuongezea nywele bandia ni maarufu sana kwa wanawake wa kiafrika duniani kote.

Inapendwa na watu mashuhuri na akina mama na sasa imekuwa sehemu ya utambulisho wa kitamaduni na mitindo barani afrika.

Lakini je unajua kuwa mtindo huu unaweza kuwa na madhara kwa afya yako?

 
Back
Top Bottom