Kusuluhisha ugomvi baina ya wapenzi: Is it possible...?

aaah!!
mi nadhani huyo rafiki yako amekosea sana!
waliogombana ni wao lakini wale "rafiki wawili" (jogoo na mtetea) hawajagombana wanatakiwa waendelee kusalimiana!!

Wenzetu wanawake wako tofauti na wanaume. Wanaume hata kunapokuwa na ugomvi kati ya wapenzi (BF na GF au mke na mume) Wanaume wanaweza kabisa kuuweka ugomvi pembeni na kufanya mapenzi bila tatizo lolote.

Wanawake ni tofauti, wanapokuwa wameudhiwa wengi wao inakuwa ni vigumu mno kufanya mapenzi huku wakiwa na hasira. Kwa hiyo kwa wenzetu ni muhimu kuwepo kwa amani na furaha ndani ya mioyo yao ili kulifanya tendo la ndoa kwa furaha.

Kwa maoni yangu huyo dada ana haki kabisa ya kuzikatalia nyeti zake na kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kupigwa au kutuhumiwa kwamba kamnyima kwa sababu ana jamaa mwingine anaenjoy huo uroda wake.
 

Kumbe umepitia mambo yetu ya karate na kungfu lol!

Hiyo ni ngumu kuunganisha vidude kama mna kaugomvi!
 

..... Ni kweli kabisa shost ila nilipomuuliza alipopigwa alichukua hatua gani (lengo lilikuwa nijue kama naye alirusha mwiko au sufuria) akanijibu kuwa yeye alipigwa na butwaa kwa sababu hajawahi kufikiria kuwa siku moja atajapigwa na huyo mkaka. so alishtukia tu muungurumo wa gari vuruuuuu jamaa anatimua vumbi!
 
Edson wanaume wengi tu ambao huwa wanaona solution ya ugomvi ni sex, na huyo mwanamke nampongeza sana coz kama mwanaume rijali humaliza matatizo ya mahusiano out of bed na sio kupitia sex. huyo mwanaume yuko weak na inawezekana kabisa hilo walilogombea ni kosa lake so anaona tabu kusema sorry ili maisha yaendelee anaua sooo kwa kupitia sex.
kuhusu kusuluhisha baina ya wapenzi shost sio rahisi, siku zote wagombanao ndio wapatanao mwisho wa siku na hata kama hawatopatana ni wao watakaomua hatma ya mapenzi yao. ALL OTHERS CAN DO NI KUTOA USHAURI TU.
my mother told me once kwenye maisha usije hata siku moja kuingilia ugomvi wa wanaojifunika shuka moja.coz ukiingilia utaishia kuonekana wewe mmbaya wao wanaendelea na mapenzi yao kisha sura ikushuke.
 
Kumbe umepitia mambo yetu ya karate na kungfu lol!

Hiyo ni ngumu kuunganisha vidude kama mna kaugomvi!

Nilipokuwa mdogo tulikuwa na kashule ka karate home, wenyewe tulikuwa tunaambia kwa ajili ya kujikinga !! sasa sijui kama bado naweza na huu unene lol

si ndo hapo sasa kaka.......... haieleweki kabisa bana
 

........... Kuna ukweli eeh dada?

kuua soo mzee anadandia tu treni usiku hata am sorry inamshinda!!
 
........... Kuna ukweli eeh dada?

kuua soo mzee anadandia tu treni usiku hata am sorry inamshinda!!
yes MwanaJ kuna wanaume wengine wamekuwa rised kwenye familia zenye mfumo dume yaani watoto wa kiume hawakosei na watoto wakike wanaonekana ni hasara tu, so usimtegemee huyu anayekuwa akijua mwanamke ni kiumbe dhalili akajishusha na kumuomba msamaha hata kama atamkosea na hilo shost halitegemei mwanaume kasoma au hajasoma wapo wengi tuu skazi hata humu ndani ya forum wapo. Never say sorry tena utakuta wengine yakikaa huko bar or makazini yanajisifu utaombaje msamaha mwanamke bwanaa huko ni kujidhalilisha,nawaona humu makazini wamejaa tele
 

....................πŸ™πŸ˜•
 
Eh zamaulid

Kwa hiyo ah hata sijui niulizeje ... kwa hiyo its possible kutenganisha hivi vitu viwili!! Aksante

I believe so! Naamini ni njia rahisi ya ku-straighten out misunderstanding. Angempa tu. Nothing is worse than using sex as a weapon to a man.
 

Waache waseme wenyewe, si wapo hapa?
 
Eh zamaulid

Kwa hiyo ah hata sijui niulizeje ... kwa hiyo its possible kutenganisha hivi vitu viwili!! Aksante

inategemea na utofauti uliopo, kuna mwingine huwezi kabisa kufanya hicho kitendo mpaka muweke mambo sawa.
 
inategemea na utofauti uliopo, kuna mwingine huwezi kabisa kufanya hicho kitendo mpaka muweke mambo sawa.

...mnh, hiyo nongwa sasa! hakumsikia kasisi akisema "...for better and for worse..." ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…