BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
aaah!!
mi nadhani huyo rafiki yako amekosea sana!
waliogombana ni wao lakini wale "rafiki wawili" (jogoo na mtetea) hawajagombana wanatakiwa waendelee kusalimiana!!
Wenzetu wanawake wako tofauti na wanaume. Wanaume hata kunapokuwa na ugomvi kati ya wapenzi (BF na GF au mke na mume) Wanaume wanaweza kabisa kuuweka ugomvi pembeni na kufanya mapenzi bila tatizo lolote.
Wanawake ni tofauti, wanapokuwa wameudhiwa wengi wao inakuwa ni vigumu mno kufanya mapenzi huku wakiwa na hasira. Kwa hiyo kwa wenzetu ni muhimu kuwepo kwa amani na furaha ndani ya mioyo yao ili kulifanya tendo la ndoa kwa furaha.
Kwa maoni yangu huyo dada ana haki kabisa ya kuzikatalia nyeti zake na kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kupigwa au kutuhumiwa kwamba kamnyima kwa sababu ana jamaa mwingine anaenjoy huo uroda wake.