Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amsterdams Lawyers hawajambo?
Ewee muumba mbingu na nchi fanya miujiza Chadema wapate wabunge chini ya watano na hao watano baada ya muda waunge mkono juhudi.
Wote tuseme Aaaamin.
wanaotumika na mabeberu serikali inapaswa iwashughulikie kama wanavoshughulikiwa magaidi maana hawa nao ni watu hatari kwa taifa, Marekani na mataifa mengine ukisemekana tu unatumika dhidi ya taifa lako ujue maisha yako ndo kwa heri bt hapa bado wanawalea lea.Na bahati mbaya zaidi Lissu ameanza kutumika na Mabeberu
Kabla jimbi kutoka chato kuwika mmeshaanza kuwakana kinga makers?
Right maana hawa wanaotumika na mabeberu ndo wanaleta migogoro na kuligawa taifa, hawa ni zaidi ya magaidi wanapaswa kushughulika sana.Inabidi tumualike Rais Putin Tanzania ili atufundishe jinsi ya kudeal na Wasaliti wa Nchi Mkuu
wanaotumika na mabeberu serikali inapaswa iwashughulikie kama wanavoshughulikiwa magaidi maana hawa nao ni watu hatari kwa taifa, marekani na mataifa mengine ukisemekana tu unatumika dhidi ya taifa lako ujue maisha yako ndo kwa heri bt hapa bado wanawalea lea.
Risasi mmeona haitoshi mnataka mbinu mpya ya kuwamaliza kimya kimya?Inabidi tumualike Rais Putin Tanzania ili atufundishe jinsi ya kudeal na Wasaliti wa Nchi Mkuu
Kura za twitter hakika ni zenu
Kingwendu wewe ushindwe na utepete,Mungu achoki.Usimchose Mungu wakati ccm ina yesu wake. Ongea na yesu wa ccm aagize alichoagiza kwenye uchaguzi wa SM.
Wewe ni mzalendo au mchumia tumbo. Watu mko CCM kwa maslahi halafu unaita huo ndo uzalendo? Shwine! MwanaCCM anayeweza kuniambia ni mzalendo ni Gentamycin na Johnthebaptist nyie wengine mnategemea posho za wagombea kuendesha maisha wala hamna mapenzi na chama.Fanya utafiti kidogo utapata jibu.
Upinzani ni wasaliti na hawana uzalendo
Lissu ameanza kutumika kwenye sakata la madini na ndo kilipelekea kutaka kuuawa, alafu usichokijua ni kua amerika na washirika wake wanapandikiza watu wao kila nchi ili wawe wanapata taarifa mbali mbali za kiserikali ajili ya mission zao.US ukisikia mtu anatumika anatumika kweli sio hizi siasa uchwara za hapa. Lisu alienda kutibiwa ulaya maana angekubali kutibiwa hapa, leo hii angekuwa marehemu, na mke wake angekuwa nyumba ndogo yangu. Kama kutibiwa ulaya ni kutumika, basi Nyerere, JK nk wangekuwa walitumika sana. Nchi gani ya ulaya ina muda wa kumtumia mtu hapa nchini, nchi ambayo bado raia wake wengi hawana vyoo na kujisaidia porini? Ingekuwa ni North Korea au Iran hapo afadhali. Sio sisi ambao hata watu wakitoka chooni hawajui kunawa na maji.
Fanya utafiti kidogo utapata jibu.
Upinzani ni wasaliti na hawana uzalendo
lissu ameanza kutumika kwenye sakata la madini na ndo kilipelekea kutaka kuuawa, alafu usichokijua ni kua amerika na washirika wake wanapandikiza watu wao kila nchi ili wawe wanapata taarifa mbali mbali za kiserikali ajili ya mission zao.
amerika wanaiendesha dunia kwa akili zaidi pale inaposhindikana ndo wanatumia nguvu.Ni kipi Marekani atakitaka nchi hii akikose mpaka wamtumie Lisu? Aliyeagiza Lisu atake kuuwawa ni huyu huyu mwenye ulevi wa madaraka. Kwa taarifa yako Marekani akiyataka madini yetu anayapata bila shida yoyote.
Ni taaarifa gani hao US za serikali yetu wakizitaka watazikosa mpaka wapandikize mtu, hizo taarifa zinazotuzwa kwenye server zinazorun windows XP? Hebu kaa kimya, maana hapa unaonekana ww ni bendera fuata upepo.
amerika wanaiendesha dunia kwa akili zaidi pale inaposhindikana ndo wanatumia nguvu.
Wapinzani hawawezi kunyimwa kura na wananchi, ndio maana CCM inatumia NEC kuwaengua maana wanajua hakuna mbunge wa ccm haiwezi kushinda bila kubebwa na NEC.
kama hamna cha kuwasumbua kipi kinawafanya waliandame taifa letu kwenye utawala huu baada ya kususa janja janja zao?Kuna kipi cha kuisumbua Marekani hapa, au ni wale makomandoo wanaopasuliana matofali kichwani?