Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Wewe ni mkenya au mtanzania?Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Hizo huduma waliacha lini kuzipata? Kususia kunaendelea na ndio maana mmepata bil 48 nusu ya matarajio yenuWewe ni mkenya au mtanzania?
Tususie ili iweje? Mamilioni ya Watanzania wakose huduma Bora za afya? Wakose shule Bora? Wakose barabara za rami?
Na yaendelee kushuka tuNaunga mkono hoja
UVCCM kwa matusi tunawajua.Wee jamaa unakuaga DUNYA sana.
Halafu wakisusia unapata nini?
Pia tofautisha kati ya hiyo tozo mpya na kodi. Hiyo. 48 mil ni kutoka kwenye tozo mpya,kodi ya mapato ipo kivingine kabisa.
Baba askofu wako kaacha kukusugua vizuri nini,unademka huku tukuone?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna upambavu ni hoja yako hiyo. Hata kama ulizaliwa, ukakulia na maisha yako yote ni mjini, mahitaji yako muhimu (km vyakula) yanatoka vijijiniHao walioko vijijini wananihusu nini mimi?
Acha kutetea upumbavu.
nakuliza tena wananihusu nini mimi mpaka nikatwe hela yangu wajengewe hospital?Kama kuna upambavu ni hoja yako hiyo. Hata kama ulizaliwa, ukakulia na maisha yako yote ni mjini, mahitaji yako muhimu (km vyakula) yanatoka vijijini
Mkiitwa nyumbu mnakasirika
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Acha kudharau kitendea kazi bhanaNa sura yake ngumu kama buti la jeshi limekosa kiwi mimi si mjinga wakufanya miamala wao watoke vitambi
Tatizo sio wapate shida.. issue ipo kwenye izo pesa ni % ndogo sana ndio itaenda kufanya hayo maendeleo... sio kwa 100% maana yakifanyika kwa angalau 85% hadi 90% hatutasikia shida ya madarasa wala izo barabara za vumbi vijijini wala vituo vya afya baada ya miaka 8 au 10 wakiwa sio wapigaji kabisa. Maana 130+ billions per month ni pesa ndef sana. Na tumepigwa tozo za kutosha kwa wakati mmoja mpaka tumeblow[emoji119][emoji119][emoji119]Tususie ile walioko vijijini waendelee na mzigo wa kujiondoa katika umaskini kwa sababu ya uhaba au ubovu wa huduma za afya!!!!
Bado mnaomba michango kupitia mpesa na tigopesa, mtaacha lini unafiki?Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.