Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Wewe ni mkenya au mtanzania?Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Tususie ili iweje? Mamilioni ya Watanzania wakose huduma Bora za afya? Wakose shule Bora? Wakose barabara za rami?