simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kiukweli hakuna anayependa kutumia miamala ya simu ila mazingira ndo yanatulazimu.Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Kiukweli hakuna anayependa kutumia miamala ya simu ila mazingira ndo yanatulazimu.