Kususia kutumia miamala kuendelee

Kususia kutumia miamala kuendelee

Hebu acha kuwa ZWAZWA wewe lini uliniona mimi popote pale nimeomba mchango wa aina yoyote!?

Bado mnaomba michango kupitia mpesa na tigopesa, mtaacha lini unafiki?
Muwe serious kidogo,
 
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Kiukweli hakuna anayependa kutumia miamala ya simu ila mazingira ndo yanatulazimu.
 
Kiukweli hakuna anayependa kutumia miamala ya simu ila mazingira ndo yanatulazimu.
 
Wengine hatuna jinsi; imebidi niongeze allowance ya mama kwenye bajeti yangu ya mwezi kusudi aendelee kupokea kiasi alichozowea!
 
Back
Top Bottom