Kususia uchaguzi.

Kususia uchaguzi.

h.imani

Senior Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
189
Reaction score
94
Naomba kufahamu, kususia uchaguzi kwa sababu maalumu ya absence of new constitution in order to have free and fair electro committee, je!! Utakuwa umekiuka sheria gani? Na impact yake ninini?
 
Yan hapo ccm wataendeleza ule msemo kupita bila kupingwa
 
Kunamaana ipi kama unaingia kwenye uchaguzi mawakala hawashuhudii kinachojiri chumba cha kupiga kura..... Bora wapite bila kupingwa kuliko kupoteza fedha...
 
Back
Top Bottom