Kutafuna Changu nacho ni kipaji....!!

Kutafuna Changu nacho ni kipaji....!!

Habari JF?
Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika.

Hamadi nikapata safari ya jijini na bila ajizi kidume wa mkoa nikachuka namba, nami nikajivika udomo zege wa wanaume wa Dar ili niinjoi mbunye za mteremko kama wao walivyozea!!

Nilipiga ile namba na nikaongea nae sana, mwanzo alijifanya si muuzaji but as muda ulivyoenda na sound zangu za mkoa akakubali mwenyeeewe tukakubaliana bei na akaja nilipokuwa!!

Loh!! Ni toto haswa!! Limesheni ile kitu mnaitaga sijui msambwanda na hipsi za kufa mtu!! Kitu nyeupeeeeee.....!! Very innocent

Kuingia nae room, huwezi amini ule uzuri woooote nikawa siuoni tena!! Nilichoona ni UKIMWI live yaani stimu zote kwishaaaa....!!! Hakuwa na tatizo ila kilichonigharimu ni ile kujua kuwa huyu ni changu daaah yaani shika msambwanda, mahippsi, manyonyo, kiuno, mapaja lakini waaaapi!!

Nilimlipa makubaliano yetu na sana sana tulipiga tu story mbali mbali, akaondoka!! Kumbe udomo zege kipaji kama hujawahi usijaribu!!

Salute kwenu wazee wa Machangu!! Mi yamenishinda, ila uzi wenu ule nimeukubali namba ni za kweli!!

Nawasilisha
mkuu kula nanasi kwaitaji nafasi.....wazee wa kipoozei ma doctor vitimbwisi hawajui hilo ulipanic nini kuona kitu kitu
 
mkuu kula nanasi kwaitaji nafasi.....wazee wa kipoozei ma doctor vitimbwisi hawajui hilo ulipanic nini kuona kitu kitu

Mzee, niliona kama ndiyo najipatia UKIMWI kwa hela yangu!! Aje lokiyo na blessings wanipe maujuzi nirudi tena!! Kama umeuguza mgonjwa wa UKIMWI ule wa kizamani utanielewa namaanisha nini!!
 
Na wadada wanaoujiuza hawautafuti?? Hapo hakuna side ya lawama ni wote wote!!
Mkiacha ku-entertain hii biashara ya kuwafuata hata ongezeko la changudoa litapungua na hatimae kuisha. Wao hawafanyi kwa starehe wanatafuta hela ya kula ila kwa njia isiyo sahihi.
 
Atakua alisahau vumbi lake la kongo...MAANA Hz dzwz nazo zinamfanya mtu awe tegemezi
 
Mkiacha ku-entertain hii biashara ya kuwafuata hata ongezeko la changudoa litapungua na hatimae kuisha. Wao hawafanyi kwa starehe wanatafuta hela ya kula ila kwa njia isiyo sahihi.
..ustuchuze wewe na hekaya zako!videmu vyenyewe nyie vya kutongoza mwaka mzima?kafieni mbele..demu mzuri kitaani kwenu,malaya kitaani kwetu!
Maisha yanasonga!
 
..ustuchuze wewe na hekaya zako!videmu vyenyewe nyie vya kutongoza mwaka mzima?kafieni mbele..demu mzuri kitaani kwenu,malaya kitaani kwetu!
Maisha yanasonga!

Wee jamaa si nlikwambia untimue mail yako yale mafaili ni makubwa sana ku-upload hapa?
Ahhh brother, faida yako nakubembeleza kweli?
 
ahahaa,,duhh..khy mzee ukaacha mtoto asepe zake...daah

Sikutamani kumuacha kwa jinsi alivyonona ila hisia zilipotea kabisa kwa hofu iliyonikuta ghafla!! Nitarudia tena kumtafuta
 
Atakua alisahau vumbi lake la kongo...MAANA Hz dzwz nazo zinamfanya mtu awe tegemezi

Hahahahaaaaaaaaa.....!! Duuuh!! Jombaa vumbi la Congo tena, mi hata silijui hilo!! Ni mabavu yangu ya asili yaliamua kugoma tu kaka
 
Back
Top Bottom