Kutafuna Changu nacho ni kipaji....!!

mkuu kula nanasi kwaitaji nafasi.....wazee wa kipoozei ma doctor vitimbwisi hawajui hilo ulipanic nini kuona kitu kitu
 
mkuu kula nanasi kwaitaji nafasi.....wazee wa kipoozei ma doctor vitimbwisi hawajui hilo ulipanic nini kuona kitu kitu

Mzee, niliona kama ndiyo najipatia UKIMWI kwa hela yangu!! Aje lokiyo na blessings wanipe maujuzi nirudi tena!! Kama umeuguza mgonjwa wa UKIMWI ule wa kizamani utanielewa namaanisha nini!!
 
Na wadada wanaoujiuza hawautafuti?? Hapo hakuna side ya lawama ni wote wote!!
Mkiacha ku-entertain hii biashara ya kuwafuata hata ongezeko la changudoa litapungua na hatimae kuisha. Wao hawafanyi kwa starehe wanatafuta hela ya kula ila kwa njia isiyo sahihi.
 
Atakua alisahau vumbi lake la kongo...MAANA Hz dzwz nazo zinamfanya mtu awe tegemezi
 
Mkiacha ku-entertain hii biashara ya kuwafuata hata ongezeko la changudoa litapungua na hatimae kuisha. Wao hawafanyi kwa starehe wanatafuta hela ya kula ila kwa njia isiyo sahihi.
..ustuchuze wewe na hekaya zako!videmu vyenyewe nyie vya kutongoza mwaka mzima?kafieni mbele..demu mzuri kitaani kwenu,malaya kitaani kwetu!
Maisha yanasonga!
 
..ustuchuze wewe na hekaya zako!videmu vyenyewe nyie vya kutongoza mwaka mzima?kafieni mbele..demu mzuri kitaani kwenu,malaya kitaani kwetu!
Maisha yanasonga!

Wee jamaa si nlikwambia untimue mail yako yale mafaili ni makubwa sana ku-upload hapa?
Ahhh brother, faida yako nakubembeleza kweli?
 
ahahaa,,duhh..khy mzee ukaacha mtoto asepe zake...daah

Sikutamani kumuacha kwa jinsi alivyonona ila hisia zilipotea kabisa kwa hofu iliyonikuta ghafla!! Nitarudia tena kumtafuta
 
Atakua alisahau vumbi lake la kongo...MAANA Hz dzwz nazo zinamfanya mtu awe tegemezi

Hahahahaaaaaaaaa.....!! Duuuh!! Jombaa vumbi la Congo tena, mi hata silijui hilo!! Ni mabavu yangu ya asili yaliamua kugoma tu kaka
 
Hahahah! Kijana kama kichwa chako hakiwezi kuhandle hivi vitu kikiwa intact, hebu jaribu kukiweka under influence of alcohol.
hahahaha...jamaa si rijali huyo, hata ukimpa alcochol atabaki anashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…