Kutafuna midomo ni ugonjwa ama nini? Msaada

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Jamani mwenzenu ninatabia ya kutafuna midimo kwa maana ya lips hasa ya chini! Tabia hii siipendi ata kidogo inafanya midomo yangu inakuwa miekundu kama najunywa pombe. Huku ata pombe sijui radha yake.nimejaribu kuiacha nimeshindwa msaada.
 
Wengine wanaumwa magonjwa hatari kweli wanatafuta dawa hawapati. Wewe unaumwa ugonjwa wa kijinga na dawa unayo lkn hutaki kuitumia.
 
Dawa gani mkuu ninayo? Kamq unajua nishauri ni muda sipendi hii tabia naitwaga mlevi huku ata pombe sinywim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…