Kutafuna ulimi

Shunula

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
72
Reaction score
15
Habari wakuu?

Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa, hivi nini chanzo cha mtu mzima kutafuna ulimi kama atafunavyo jojo ? Maana kuna jamaa yangu wa karibu sana huwa namuona akifanya hivyo hasa anapokuwa peke yake.

Karibuni wataalamu wa afya na saikolojia.
 

Ata mimi nina tatizo hilo sanasana ninapokua idle.Baba yangu pia alikua anafanya hivyo sasa sjui ni nini.
 
Ata mimi nina tatizo hilo sanasana ninapokua idle.Baba yangu pia alikua anafanya hivyo sasa sjui ni nini.

mmmh! Mtoa mada kama ameniona vilee! Sasa uwe bize na kitu flani wee hadi raha!! Miye hadi kelele!! Ka kuna mtu karibu hadi anishtue ndo nashtuka! Dah nataman kuacha ila ndo hivyo tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…