Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu?
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa,hivi nini chanzo cha mtu mzima kutafuna ulimi kama atafunavyo jojo ? Maana kuna jamaa yangu wa karibu sana huwa namuona akifanya hivyo hasa anapokuwa peke yake.karibuni wataalamu wa afya na saikolojia.
Ata mimi nina tatizo hilo sanasana ninapokua idle.Baba yangu pia alikua anafanya hivyo sasa sjui ni nini.
Wataalamu mko wapi ?