Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

ney kush

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
1,407
Reaction score
916
Hii ni knowledge alinifundisha mwalimu wangu wa BIOLOGY sasa cjui ni ya kweli coz bado sijafika mda wa kujaribu ila kwa wewe unaetaka mtoto wa kiume na hupati jaribu hii trik kabla ya kwenda kwa wamasai naanza kutoa maelekezo..

MBEGU YA KIUME KWA KITAALAMU (Y) YENYEWE HUWA INAWAHI KURUTUBISHWA KULIKO MBEGU YA KIKE(X) LAKINI MBEGU YA KIUME HUWA INA SPIDI NDOGO ILI KULIFIKIA YAI LA KIKE WAKATI YAI LA KIKE LENYEWE LINA SPIDI KUBWA LAKINI HUCHELEWA KURUTUBISHWA SASA MWANAUME INATAKIWA UWAI KITUPIA VITU ILI VIRUTUBISHWE FASTA ILI WAKATI MBEGU ZA MAMAA ZINAPOFIKA ZIKUTE DUME ALISHASABABISHWA ZAMANI...

Kama sijaeleweka naombeni mnambie au labda kuna sehemu nimekosea KIROHO SAFIIIIII... ila point ni kujua characteristics za mbegu.. KWA WA KIKE NI KINYUME
 
nadhani ungeuliza unataka mtoto wa jinsia gani? kila mtu angejichagulia jinsia anayoitaka......................
 
umekosea kinyamaaa... Kafungue tena biological science

Sio habari za kufungua vitabu saiv we sema wapi pamekosewa watu wote tueleweshane... Usijifanye unajua
 
me sijui tusikilize wadau watatuambia ila ninavyojua mwalimu wako alikuwa anakupa mwangatuu ila madokta wanaogoma watatuambia
 
Kwa kawaida mbegu za kiume zinaspeed kubwa lakini ni short lasting..wakati za kike zina speed ndogo ila ni long lasting. Kwa hiyo kama unataka wa kiume unatakiwa ufanye timing za kuhakikisha yai la kike limepevuka ndio ufanye mambo...ila mbegu za kiume/Y zanapomove ziwahi kufikia yai/x kabla ya kuisha uwezo wake...
 
Mbegu ya kiume inakufa haraka na ina spidi. Mbegu ya kike inaenda taratibu na inachelewa kufa. Ukitupia wkt mamaa yai limeshatoka bas uwezekano wa kupata kidume ni mkubwa na ukitupia siku 2 kabla ya yai kutoka basi utarajie kijike mkuu.
 
ngoja nirudi tena nikasome bios maana hapa nimetoka kapa
 
Mie nishushe njiani konda nishafika....
 
swala la kutafuta mtoto wa kiume/kike namwachia mungu mwenyewe aamue.la pekee (kwa wanaume)ni kuomba tuu ujaliwe kale ka uwezo ka kukupandikiza mbegu kwa mama.
 
Nadhani ni hivi:
X: Zina endurence zaidi (zinahishi muda mrefu katika mazingira ya Ph ya ukeni, up to 7 days) ila zina move slower
Y: Zina endurence ndogo(Zina wahi kufa within 3 to 5 days) ila zina move fast.
Ukitaka mtoto wa kike unatakiwa kukutana mapema sana kama 6 days kabla ya ovulation ili mbegu za kiume zife zote, uongeze chances za kuzaa wa kike. Ukitaka wa kiume basi hakikisha mnakutana 2 days before, or less.

Advises are available here ila sio scientific site, ni kama blog fulani tu.
 

wewe na mtoa mada hii ni wapotoshaji.
 
ngoja nikasome jogorafia hapa napata kizungu zungu.
 
wewe na mtoa mada hii ni wapotoshaji.
Mi nimetoa source, na nimesema ni kama blog tu ili atakae soma asichukilie too seriously.
sasa wewe unapendekeza nini, after kudiscard post yangu na ya mtoa maada?
Toa sababu za kui-qualify 'upotoshaji', be constructive hata once in a while basi.
 
Mi nimetoa source, na nimesema ni kama blog tu ili atakae soma asichukilie too seriously.
sasa wewe unapendekeza nini, after kudiscard post yangu na ya mtoa maada?
Toa sababu za kui-qualify 'upotoshaji', be constructive hata once in a while basi.

kaka MWALI EH WE UNAKUA KAMA UMEJIUNGA LEO BWANA WE HAWA HUWAJUI KWA KUPONDA HATA ULETE KITU CHA MAANA NDO KAZI YAO KUPONDA TAKE IT EASY YOOOOOH! usije ukawatukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…