Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Tujuze zaidi umetupa trela movie bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa Kiume
Kutana na mke siku ambayo unauhakika yai la mkeo limekwishafika kwenye nyumba ya uzazi.mbegu za mtoto wa kuime zinakimbia kasi kuliko za kike hivyo zitafika na kurutubisha yai wakati za kike bado zinakuja taratibu.
Kwenye Hiyo Quote Hapo Juu, Kama ulikutana na Mkeo siku tatu Kabla ya yai halijashuka kwenye Nyumba ya Uzazi, na Pia ukakutana nae siku yai Linafika kwenye Nyumba ya Uzazi.
Tuseme Hivi
1/1/2012 , Siku Tatu before Ovulation, Ukamega Mkeo
3/1/2012, Ovulation, Ukamega, Je ni Mbegu zipi zitarutubisha
usemavyo ni kweli, although sio 100% it gives reliable chances za ku-determine genderNatumia kumbukumbu zaidi kwa hiyo uwezekano wa kutoa maelezo ya kasoro za Kiufundi.
Kwanza
Ni mbegu za kiume ndio zenye kuamua azaliwe mtoto wa kiume au wa kike.
Pili
Hivyo mwananaume ndio anayeweza kuamua mimba ishike ya mtoto yupi.
Tatu
Hii inatokana tofauti ya mbegu za kiume kuhimili kuishi kwa muda mrefu ndani ya nyumba ya uzazi kabla ya kukutana na yai la kike.
Mbegu zinazoweza kurutubisha mtoto wa kike zinauwezo wa kuishi kwa muda mrefu kuliko zile za mtoto wa kiume.
Hivyo kama mwanamme anaweza kukisia ni lini yai la mkewe litafika kwenye nyumba ya uzazi basi anaweza kutengeneza mazingira ya kujipatia mtoto wa jinsia anayoitaka.
Mtoto wa Kike
Inabidi ukutane na mkeo siku tatu kabla ya yai lake kufika kwenye nyumba ya uzazi.kwa sababu mbegu za mtoto wa kike uweza kuishi muda mrefu zitakuwapo hapo mpaka siku yai linafika na kurutubishwa wakati mbegu za mtoto wa kiume zinakuwa zimekwisha kufa.
Mtoto wa Kiume
Kutana na mke siku ambayo unauhakika yai la mkeo limekwishafika kwenye nyumba ya uzazi.mbegu za mtoto wa kuime zinakimbia kasi kuliko za kike hivyo zitafika na kurutubisha yai wakati za kike bado zinakuja taratibu.
ANGALIZO
Hii inaweza ikawa moja ya sababu kwa nini mimba nyingi zinazokataliwa na midume husika huwa zinaleta mabinti,kwa sababu ya kudhani kwamba sababu wamekutana siku kadhaa kabla ya danger days (hasa kama kuna miscalculation ya kumark danger day kwamba inaanzia siku yai linashuka)sababu mbegu za kile ni zinaishi muda mrefu kusubiri yai.
Hapa inakuwa issue ya chances zaidi,sababu kama yai limeshuka asubuhi manake litakuta mbegu za kike zipo na kurutubishwa kwa hiyo wakati unakutana na wife jioni kijana atakua amechelewa.
Suppose unakutana nae at the time yai linashuka,I can not tell what will happen
Unataka eksiperiment?
Eeeeh bana vp unataka ku volunteer tuone ni he au she?
Mie mshika kibendera in case kutakuwa na faulo

Wengi ni kubahatisha tuu. Utajuaje yai limefika kwenye nyumba ya uzazi?
Natumia kumbukumbu zaidi kwa hiyo uwezekano wa kutoa maelezo ya kasoro za Kiufundi.
Kwanza
Ni mbegu za kiume ndio zenye kuamua azaliwe mtoto wa kiume au wa kike.
Pili
Hivyo mwananaume ndio anayeweza kuamua mimba ishike ya mtoto yupi.
Tatu
Hii inatokana tofauti ya mbegu za kiume kuhimili kuishi kwa muda mrefu ndani ya nyumba ya uzazi kabla ya kukutana na yai la kike.
Mbegu zinazoweza kurutubisha mtoto wa kike zinauwezo wa kuishi kwa muda mrefu kuliko zile za mtoto wa kiume.
Hivyo kama mwanamme anaweza kukisia ni lini yai la mkewe litafika kwenye nyumba ya uzazi basi anaweza kutengeneza mazingira ya kujipatia mtoto wa jinsia anayoitaka.
Mtoto wa Kike
Inabidi ukutane na mkeo siku tatu kabla ya yai lake kufika kwenye nyumba ya uzazi.kwa sababu mbegu za mtoto wa kike uweza kuishi muda mrefu zitakuwapo hapo mpaka siku yai linafika na kurutubishwa wakati mbegu za mtoto wa kiume zinakuwa zimekwisha kufa.
Mtoto wa Kiume
Kutana na mke siku ambayo unauhakika yai la mkeo limekwishafika kwenye nyumba ya uzazi.mbegu za mtoto wa kuime zinakimbia kasi kuliko za kike hivyo zitafika na kurutubisha yai wakati za kike bado zinakuja taratibu.
ANGALIZO 1
Hii inaweza ikawa moja ya sababu kwa nini mimba nyingi zinazokataliwa na midume husika huwa zinaleta mabinti,kwa sababu ya kudhani kwamba sababu wamekutana siku kadhaa kabla ya danger days (hasa kama kuna miscalculation ya kumark danger day kwamba inaanzia siku yai linashuka)sababu mbegu za kile ni zinaishi muda mrefu kusubiri yai.
ANGALIZO 2
Hii inaweza ikaelezea pia ni kwa nini kuna wajane wakike wengi kuliko wajane wa kiume kwa sababu,hata kabla ya kufanyika,wanawake wanauwezo wa kuishi muda mrefu kuliko wanaume.wale wanaofikiri wanawake wanauwa waume wao wanaweza kuanza kutafakari upya.
Nadhani tunahitaji ufafanuzi this is a very useful post.Ni hivi, hesabu kuanzia siku ya kwanza mkeo anapopata hedhi, hadi siku ya 11. Hizo ni safe days, siku ya 12 hadi 14 ni danger days na ukigegeda siku hizo tegemea kupata binti, siku ya 15 na 16 ndizo unaweza kupata wa kiume. siku ya 17 ni safe days hadi atakapoingia kwenye hedhi tena. hivyo danger days ni 5 tu.
galindas naomba ufafanuzi, siku hizi ni kwa mzunguko wa siku ngapi?Ni hivi, hesabu kuanzia siku ya kwanza mkeo anapopata hedhi, hadi siku ya 11. Hizo ni safe days, siku ya 12 hadi 14 ni danger days na ukigegeda siku hizo tegemea kupata binti, siku ya 15 na 16 ndizo unaweza kupata wa kiume. siku ya 17 ni safe days hadi atakapoingia kwenye hedhi tena. hivyo danger days ni 5 tu.
hapo kwenye red hata katika upande wa kuhimili maradhi watoto wa kike wanahimili zaidi kuliko hata wa kiume so in short wanaume kidogo tupo weak...🙂:lol:Natumia kumbukumbu zaidi kwa hiyo uwezekano wa kutoa maelezo ya kasoro za Kiufundi.
Kwanza
Ni mbegu za kiume ndio zenye kuamua azaliwe mtoto wa kiume au wa kike.
Pili
Hivyo mwananaume ndio anayeweza kuamua mimba ishike ya mtoto yupi.
Tatu
Hii inatokana tofauti ya mbegu za kiume kuhimili kuishi kwa muda mrefu ndani ya nyumba ya uzazi kabla ya kukutana na yai la kike.
Mbegu zinazoweza kurutubisha mtoto wa kike zinauwezo wa kuishi kwa muda mrefu kuliko zile za mtoto wa kiume.
Hivyo kama mwanamme anaweza kukisia ni lini yai la mkewe litafika kwenye nyumba ya uzazi basi anaweza kutengeneza mazingira ya kujipatia mtoto wa jinsia anayoitaka.
Mtoto wa Kike
Inabidi ukutane na mkeo siku tatu kabla ya yai lake kufika kwenye nyumba ya uzazi.kwa sababu mbegu za mtoto wa kike uweza kuishi muda mrefu zitakuwapo hapo mpaka siku yai linafika na kurutubishwa wakati mbegu za mtoto wa kiume zinakuwa zimekwisha kufa.
Mtoto wa Kiume
Kutana na mke siku ambayo unauhakika yai la mkeo limekwishafika kwenye nyumba ya uzazi.mbegu za mtoto wa kuime zinakimbia kasi kuliko za kike hivyo zitafika na kurutubisha yai wakati za kike bado zinakuja taratibu.
ANGALIZO 1
Hii inaweza ikawa moja ya sababu kwa nini mimba nyingi zinazokataliwa na midume husika huwa zinaleta mabinti,kwa sababu ya kudhani kwamba sababu wamekutana siku kadhaa kabla ya danger days (hasa kama kuna miscalculation ya kumark danger day kwamba inaanzia siku yai linashuka)sababu mbegu za kile ni zinaishi muda mrefu kusubiri yai.
ANGALIZO 2
Hii inaweza ikaelezea pia ni kwa nini kuna wajane wakike wengi kuliko wajane wa kiume kwa sababu,hata kabla ya kufanyika,wanawake wanauwezo wa kuishi muda mrefu kuliko wanaume.wale wanaofikiri wanawake wanauwa waume wao wanaweza kuanza kutafakari upya.
Wewe lala, naona umeanza kukurupuka! Tangu lini majibu sahihi yakahitaji majibu?Duuu somo zuri ila bado majibu sahihi ya wadau hayajapata majibu