Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Inshort mwanamke anatoa XX ambazo zinauwezo wa kutoa mtoto wa kike,mwanaume ana XY ambazo zinauwezo wa kutoa mwanaume au mwanamke yani X girl na Y boy,hivyo mwanaume ndo ananafasi kubwa sana.
Jinsi ya kupata mtoto wa kiume
Tendo lifanyike siku ya ovaluation na iwe 12 hours before,kujua siku ya ovaluation inabidi uhesabu siku aliyoanza kubleed hadi siku ya 14 kwa wale wenye cycle ya siku 28 hivyo siku ya 14 ndo exactly utapata dume but unaweza kuacha siku ya 14 ipite na ufanye siku ya 15 kwa uhakika zaidi maana ovaluation inaweza tokea usiku we ukafanya asubuhi
kwa wale wenye cycle ya siku zaidi ya 28 ni hesabu siku 18 toka siku ya bleed na siku ya 18 ndo siku ya kupata mtoto wa kiume.
BUT kuchagua mtoto its God choice sometime this method doesnt work,kikubwa mtoto ni mtoto na ni baraka toka kwa mungu
 
Mtoto ni mtoto! Sasa wa kike au wakiume wote ni watoto.
 
Sio habari za kufungua vitabu saiv we sema wapi pamekosewa watu wote tueleweshane... Usijifanye unajua​


Umechemka, usiwe mbishi bwana.
 
Najua hapa ndo kitovu cha busara na elimu za kila aina. Ninaomba msaada wa kuwa na ujuzi wa kupanga jinsia ya mtoto. Izingatiwe kuwa mtu anapojibu swali azingatie mzunguko wa hedhi wa SIKU 24 na 28. Yaani hiyo iwe reference ya majibu. Nasubiri majibu yenu waungwana.
 
Njia ya kupata Mtoto wa Kiume kutumia siku 24 na 28

¤ Siku zote mtoto wa kiume hupatikana siku Mwanamke ameingia Ovulation/yai limetoka na anahamu sana na Mwanaume kuliko siku zote.(Zile I Miss U zinapokuwa zinazidi)

Sasa Mwanamke unatakiwa umpe Tunda mwanaume siku hiyo ya kwanza. Kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 24 ni siku ya 12 toka alipobleed na Kwa wanawake wa mzunguko wa siku 28 ni siku ya 14 toka alipoanza kubleed. Hizi ni siku za Yai kutoka.

ikumbukwe kuwa mbegu ya kiume Y inawahi kufika kuliko X ndo maana nakushauri hivyo. Na pia Y inawahi kufa kabla ya X. Y inaishi siku 2 mpaka 2.5 wakati X inaishi mpaka siku 3 na 3.5

kwahiyo kama ukifanya siku hiyo Mbegu ya kiume itawahi kufika na kurutubisha Yai mapema. Na kumbuka kuwa Ili kuwe na uwezekano mkubwa wa kufika lazima Mwanamke awe Chini na Mwanaume awe juu wakati wa tendo la Ndoa ili kuleta mseleleko mzuri wa mbegu. Na siku zote Mwanaume apige magoli mengi ili kuleta sperm count kubwa zitakazoweza kufika kwenye Yai. Na Mwanamme ukae style ya Missionary kwa mda Mrefu wakati uume upo kwenye uke mwishoni kabisa ili kufikia karibu na Cervix.

Note: mwanaume anatakiwa asimove uume wake wakati amefika kileleni na hakikisha ameuingiza wote

¤Kwa mtoto wa kike!
Mwanamke anatakiwa kufanya Mapenzi na mme wake siku mbili au tatu kabla ya siku ya Ovulation. Yaani siku ya 9 kwa mwanamke aliye na mzunguko wa siku 24 na siku ya 11 kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 toka aanze kubleed.. Hapa Y zote zitakuta yai halijatoka na Zitakufa na kwa vile X inaishi mda mrefu yai likitoka Basi mtoto wa Kike anatungwa

Goodluck
 


Kaka RGForever,
Safi sana kwa maelezo yako ambayo ni rahisi kueleweka pia nahisi muuliza swali atakuwa amepata kitu fulani ambacho kitakuwa msaada kwake.

Hapo katika X na Y kidogo nilikuwa nataka kufahamu ni ipi kati ya hizo yenye life span kubwa?. Nadhani sifa ulizoziweka hapo za X ndo zinatakiwa kuwa za Y na za Y zinatakiwa ziwe za X.
Ebu cheki vizuri kama nitakuwa sipo sahihi unirekebishe.
 
Nipo sahihi mkuu maana nimezisoma

Sifa za X
¤Ni mbegu ya kike
¤Ina speed/mwendo mdogo wa kusafiri
¤Ila inauwezo mkubwa wa kuingia kwenye Yai au High penetration power
¤Ina long life span Siku 3 mpaka 3.5

Sifa za Y
¤Ni mbegu ya kiume
¤Inaspeed kubwa ya kuogolea
¤Ila ina Low penetration power.
¤Ina short life span inaishi kwa mda wa siku 2 mpaka 2.5
3 mpaka 5.

Kuna Mechanism Kubwa inayosaidia Mbegu kufika kwenye Yai.

1. Uke wenyewe. Jitahidi umfikishe mwanamke kileleni ukichunguza kwa Makini Utaona pale kwenye uke mwanzoni kama kunachezacheza. Kama vile kuna pwita pwita, Movement ya Mashavu. Movement hiyo husaidia Mbegu za kiume kufika kwenye Yai

2. Kuna vitu vinaitwa VILLI au Brush kwenye uterus(mfuko wa uzazi) pia kwenye Fallopian tube(mirija ya yai) hivi pia husaidia yai kufikiwa na Mbegu virahisi.


KUMBUKA YAI LA MWANAMKE LINAISHI KWA MDA WA SIKU 2 MPAKA 3 na linakufa kama halitakutana na mbegu ya kiume. Likifa zile hormone (oestrogen na Progesterone)
zilizokuwa zinatengeneza Ukuta wa Mimba zinaanza kuachia taratibu na Ukuta unaanza kumomonyoka taratibu ambapo Tunasema Mwanamke AnaBLEED. Zinaachia taratibu ndo Mana kuna wanawake wanableed siku siku 3 mpaka 5.

Nadhani umenielewa mkuu
 

Asante sana kwa majibu mazuri na yanatekelezeka!
 
Mwanamke chini mwanaume Juu! Ni staili ya kuanzia Tendo

Mara Nyingi ilifanywa na Wazazi wetu hapo zamani. Au Angalia Makasha ya Kondomu wamewachora watu wakifanya staili hiyo.

Kuna sehemu nilsoma kuwa ile style ya Mbuzi kagoma kwenda ni nzuri katika kumpata mtoto wa kiume, je ni kweli ukiwa katika siku zile mbili za ovln?
 
Kuna sehemu nilsoma kuwa ile style ya Mbuzi kagoma kwenda ni nzuri katika kumpata mtoto wa kiume, je ni kweli ukiwa katika siku zile mbili za ovln?

Hiyo niliyotoa ni style moja wapo, style yoyote itakayofanya sperms/mbegu kuwa under gravity ni nzuri
 
Natumia kumbukumbu zaidi kwa hiyo uwezekano wa kutoa maelezo ya kasoro za Kiufundi.

Kwanza
Ni mbegu za kiume ndio zenye kuamua azaliwe mtoto wa kiume au wa kike.

Pili
Hivyo mwananaume ndio anayeweza kuamua mimba ishike ya mtoto yupi.

Tatu
Hii inatokana tofauti ya mbegu za kiume kuhimili kuishi kwa muda mrefu ndani ya nyumba ya uzazi kabla ya kukutana na yai la kike.

Mbegu zinazoweza kurutubisha mtoto wa kike zinauwezo wa kuishi kwa muda mrefu kuliko zile za mtoto wa kiume.

Hivyo kama mwanamme anaweza kukisia ni lini yai la mkewe litafika kwenye nyumba ya uzazi basi anaweza kutengeneza mazingira ya kujipatia mtoto wa jinsia anayoitaka.

Mtoto wa Kike
Inabidi ukutane na mkeo siku tatu kabla ya yai lake kufika kwenye nyumba ya uzazi.kwa sababu mbegu za mtoto wa kike uweza kuishi muda mrefu zitakuwapo hapo mpaka siku yai linafika na kurutubishwa wakati mbegu za mtoto wa kiume zinakuwa zimekwisha kufa.

Mtoto wa Kiume
Kutana na mke siku ambayo unauhakika yai la mkeo limekwishafika kwenye nyumba ya uzazi.mbegu za mtoto wa kuime zinakimbia kasi kuliko za kike hivyo zitafika na kurutubisha yai wakati za kike bado zinakuja taratibu.

ANGALIZO 1
Hii inaweza ikawa moja ya sababu kwa nini mimba nyingi zinazokataliwa na midume husika huwa zinaleta mabinti,kwa sababu ya kudhani kwamba sababu wamekutana siku kadhaa kabla ya danger days (hasa kama kuna miscalculation ya kumark danger day kwamba inaanzia siku yai linashuka)sababu mbegu za kile ni zinaishi muda mrefu kusubiri yai.

ANGALIZO 2
Hii inaweza ikaelezea pia ni kwa nini kuna wajane wakike wengi kuliko wajane wa kiume kwa sababu,hata kabla ya kufanyika,wanawake wanauwezo wa kuishi muda mrefu kuliko wanaume.wale wanaofikiri wanawake wanauwa waume wao wanaweza kuanza kutafakari upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…