Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Mtoto wa Kiume
Kutana na mke siku ambayo unauhakika yai la mkeo limekwishafika kwenye nyumba ya uzazi.mbegu za mtoto wa kuime zinakimbia kasi kuliko za kike hivyo zitafika na kurutubisha yai wakati za kike bado zinakuja taratibu.

Kwenye Hiyo Quote Hapo Juu, Kama ulikutana na Mkeo siku tatu Kabla ya yai halijashuka kwenye Nyumba ya Uzazi, na Pia ukakutana nae siku yai Linafika kwenye Nyumba ya Uzazi.

Tuseme Hivi
1/1/2012 , Siku Tatu before Ovulation, Ukamega Mkeo
3/1/2012, Ovulation, Ukamega, Je ni Mbegu zipi zitarutubisha
 

Hapa inakuwa issue ya chances zaidi,sababu kama yai limeshuka asubuhi manake litakuta mbegu za kike zipo na kurutubishwa kwa hiyo wakati unakutana na wife jioni kijana atakua amechelewa.

Suppose unakutana nae at the time yai linashuka,I can not tell what will happen
 
usemavyo ni kweli, although sio 100% it gives reliable chances za ku-determine gender
 

Nadhani Kuongeza Chance ya Kupata Mtoto wa Kiume (Wana ume wengi wana wish) Itabid Mzee usigegede Kabisaaaa Mpaka Hiyo Siku ya Ovulation, Hii siku Mwanamke anakuwa na Mihemko na ashiki Nyingi sana.
Pia Mbegu zinakuwa Nyingi na Zenye Afya, Kumbuka Y (X-somes) za Kiume, ziko Fasta ila ni Very Weak Kuliko X
 
Wengi ni kubahatisha tuu. Utajuaje yai limefika kwenye nyumba ya uzazi?

unaweza kujua ovulation day kwa haya
1) joto la mwanamke uongezeka kwa 1 degree cent igrade.siku ya ovulation joto la mwanamke huwa kubwa kidogo (about 38 instead of normal 37)

2) majimaji ya uken yanakuwa mazito

3) mwanamke anakuwa na hashik sana
 
Ni hivi, hesabu kuanzia siku ya kwanza mkeo anapopata hedhi, hadi siku ya 11. Hizo ni safe days, siku ya 12 hadi 14 ni danger days na ukigegeda siku hizo tegemea kupata binti, siku ya 15 na 16 ndizo unaweza kupata wa kiume. siku ya 17 ni safe days hadi atakapoingia kwenye hedhi tena. hivyo danger days ni 5 tu.
 

na nikitaka kupata watoto mapacha nifanyeje?
 
Nadhani tunahitaji ufafanuzi this is a very useful post.
 
galindas naomba ufafanuzi, siku hizi ni kwa mzunguko wa siku ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Sangarara unaweza tueleza kwa nini idadi y watoto wanaozaliwa wengi huwa wa jinsia ya kike?
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye red hata katika upande wa kuhimili maradhi watoto wa kike wanahimili zaidi kuliko hata wa kiume so in short wanaume kidogo tupo weak...🙂:lol:
 
Duuu somo zuri ila bado majibu sahihi ya wadau hayajapata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…