Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Mkuu ni kwa mzunguko wa siku 28. japokuwa mabadiliko hutokea kulingana na other factors. Cha msingi anza kuhesabu siku ya mwanzo ya mp.
 
Ukumbuke kuwambia ya kuwa analysis hii siyo ya uhakika 100%.
 
Ukumbuke kuwambia ya kuwa analysis hii siyo ya uhakika 100%.

Mkuu fundi mkweli Kinyozi maana kichwa
unaondoka nacho ila uliposema si 100%
Nimekukubali,maana Mungu anahusika zaidi.
 

Mkuu umechanganya sana mambo.

Tatu
Hii inatokana tofauti ya mbegu za kiume kuhimili kuishi kwa muda mrefu ndani ya nyumba ya uzazi kabla ya kukutana na yai la kike.

Mtoto wa Kike
Inabidi ukutane na mkeo siku tatu kabla ya yai lake kufika kwenye nyumba ya uzazi.kwa sababu mbegu za mtoto wa kike uweza kuishi muda mrefu
 

Kiongozi
Hii kitu mbona naona iko sawa tu, tatizo ni nini?
 
Wakuu habari zenu..Poleni na mfungo mtukufu (Kwa aliyefunga).

Nauliza jinsi wanandoa wanapanga mtoto gani wanamtaka nikimaanisha jinsia yake iwe wa kike au wa kiume nasikia huwa inawezekana, mifano mingi tunaiona wanandoa wanasema mwakani tumtafute mtoto wa kiume na kweli baada ya muda wakienda kupiga Ultra Sound inakuwa ni kweli.
Wengine wanasema ni mipango ya Mungu maana haiwezekani umpangie mtoto gani aje? Naombeni mnisaidie kwa hili...


MUHIMU: Inawezekana uzi huu ulishawahi kuletwa humu ndani kabla sijajiunga na cha msingi ni kunijuza ambaydm ulinipita.
 
Inawezekana mkuu...ila ni suala la mwanamke kua smart na awe anajijua vilivyo kimwili...mi nakumbuka tulifundishwa ila sikumbuki ninachokumbuka ni kuwa hesabu nzima iko kwenye siku za mwanamke...na uzito na wepesi wa majimaji anayotoa sehemu za siri....inawezekana kabisa....so sad sijui zaidi..google it.
 
Oooh! Ute yani majimaji ya uke yakiwa mepesi mbegu za , zinakua speed matokeo yake unapata jinsia ya mimba ikifanikiwa kutunga , na Ute maji yani majimaji ya ukeni yakiwa mazito mbegu ndio zinakua faster zaidi ya matokeo ya . Hapa mnatakiwa kua na ushirikiano na mwenzako ili mjue hiki ni kipindi cha ute mzito au mwepesi.

xx ni mwanamke na xy ni mwanaume.
 

Nashkuru kwa mchango wako mkuu.
 

Shukrani kwa mawazo yako mkuu.
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi kwangu mtoto ni mtoto ila kiukweli ningependa 1st born wangu awe wa kiume.

mambo unayoweza kufanya kuinfluence mtoto wa kiume ni yafuatayo:
1. fanya tendo siku mkeo anapo-ovulate au saa chache kabla ya kuovulate (ingawa kujua siku gani ya ovulation ni mtihani mwingine).
2. prefer doggy style, woman on top or standing style rather than missionary style.
3. kunywa vitu vyenye caffeine kama kahawa au chocolate kabla ya tendo
4. usivae underwear ya kukubana sana saa chache kabla ya tendo, vaa underwear inayokupatia hewa ya kutosha kunako.
5. make sure mkeo anakuwa na ute wa kutosha before kudo ili iwe rahisi kwa mbegu za Y kuogelea kwa urahisi
N.B. hizi njia ni za kujaribu Mungu ndiye hupanga yote. kuna wengine wamefanikiwa na wengine hawajafanikiwa, na wengine hawajafanya chochote na wamefanikiwa, lakini kama kweli unapenda jinsia Fulani seriously si vibaya ukajaribu . play your part the rest leave it to GOD.
 

hapa ulichosema si kweli. Mwanamke anapokuwa kwenye siku za hatari ute ute unakuwa laini sana kama kamasi nyepesi. Na akiwa kwenye vipindi vingine ute unakuwa mzito na haunymbuki. Ili kupata mtoto au wa kiume cha kufanya ni kuwasha danger days kwa mwanamke huanza siku ya 10 hadi ya 17 kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28. Sasa basi mbegu ya kiume Y inaishi 48hrs wakati ya kike inaishi kwa 72hrs. Sasa basi ili upate mtoto wa kiume fanya mapenzi na mkeo kati ya siku 14-17: coz Y inaswim fast na inaishi for few hours. Wakati ili kupata wa kike fanya mapenzi kati siku 10-13 coz X inaswim slowly na inaishi siku nyingi. Yai la mwanamke ni X tunatarajia lishuke siku ya 14. Ukifanya mapema Y itakenda fasta lakini itakuta yai halipo hivyo itakaa na mwisho wa siku itakufa kabla yai halijaja wakati yai likishuka litakuta X ndo anafika. This is logic behind of getting a male or female baby.
Namna ya kujua danger days kwa mkeo.
Chukua idadi ya mzunguko wa mkeo mfano 28 days sema N, gawanya kwa 2. Yaani N/2= n
n+3= ukomo wa danger days, na n-5= mwanzo wa danger days.
Kwa mwenye 28 days
N=28, 28/2= 14.
n= 14, 14+3=17,
14-5= 9:
mwanzo wa danger days ni siku ya 9 na mwisho wa danger days ni siku ya 17:
kwa mwenye mzunguko wa siku 28 siku za kupata mtoto wa kike ni day 10-13, na wa kiume kuanzia day 14-17:
 


Hivi kumbe mkuu haya mambo ya kuchagua mtoto wa jinsia gani yanawezekana kabisa au ni properbility?
 
Habari zenu wana JF naombeni mnijuze cku gani ambayo mimba ndo uingia ya mtoto wakike ktk mzunguko wa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…